VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini

Hiyo ndiyo faida ya kuwa na maliasili, au ulitaka uchumi unao uukalie?
Kuna namna ya kutumia hizo maliasili ila sio kwa namna ambayo imefanyika hapo.
Piga mahesabu uone nani atayenufaika zaidi hapo kati ya Tanzania na Korea.
Hizo rare earth minerals watazochimba Korea kwa huo muda zina surpass hiyo $2.5 billions.
Kafuatilie thamani ya hayo madini halafu uone jinsi tutavyopigwa sana hapo na kukwanguliwa.
 
IMG_0962.jpg
 
Kwani uliambiwa wameuziwa hayo madini au uliambiwa wamepewa bure?

Usijichanganye. Kwani SoutgbJirea ba Tanzania wameanza leo kukopeshana au wameanza leo kufanya biashara?
 
Bibi mbona unajivuruga ama kujichanganya?
Ama hukusoma kwa utuo?
Makubaliano yaliyoingiwa ni kwamba Korea itaruhusiwa KUCHIMBA MADINI YA RARE EARTH METALS na kutumia sehemu ya marine border.
Inamaana tarajia soon waanze kuchimba hayo madini,je unajua watachimba kwa kiwango gani mpaka hayo makubaliano yatakavyokua invalid!?
Embu soma kwa utuo.
 
Watz emb tujiulize mbona awamu hii madili na nchi kubwa yamekua mengi? Hamwoni ya kua nchi inauzwa hii🤣 ukweli hali ni mbaya. Kati ya awamu zote hii ndo imeleta wanyonyaji wengi na bado mi5 tena. Sioni happy endings kabisa
 
Back
Top Bottom