VoA watolea ufafanuzi taarifa ya Masharti ya Mkopo wa Korea Kusini kwa Tanzania

Naomba kufahamu hiyo riba ya asilimia 0.01 ni kwa kipindi chote cha miaka arobaini au itakuwa miaka 65?
Tukiangalia na inflation inaweza kuwa riba ndogo kweli
 
anasikika Msemaji wa Serikali akisema hati za makubaliano zinajumuisha ushirikiano katika uchumi wa bluu,
Uchumi wa BLUU maana yake ni Zanzibar.
Je, Zenji itahusika pia katika kulipa huo mkopo?
 
Gas ya Mtwara tuliambiwa ni yetu, Magufuli akasema HATUNA gas kule watu waliishalipwa pesa na waliuza kila kitu.
Hata hili ni muda tu, siku moja atakuja mwenye ujasiri na atatuambia ukweli.
 
Matinyi amesema kuwa Mkopo huo utaanza kulipwa baada ya miaka 25 na utalipwa kwa kipindi Cha Miaka 40.
Habari zenu zinazidi kutuchanganya, Kitila Mkumbo kasema mkopo utaanza kulipwa 2026 wewe unasema utaanza kulipwa baada ya miaka 25 na utaisha ndani ya miaka 40, kipi ni kipi sasa?
 
Sijui tumelaaniwa na nani..... Tumekuwa na viongozi bogus wanao sahau kuwa wote tutakufa.... Mbaya zaidi tuta acha vizazi vyetu vikiendelea kuteseka kwa utumwa....

Kwanini usiwe wewe kiongozi?
 
I am very skeptical about the terms and conditions of this loans.
 
Majizi yana umoja mno
Sema wewe ni mpuuzi mmoja..
Ile Gang ya mwendazake hakika imekuathiri sana.
Ila ni aibu kubwa kuendelea kukopa..as if hatuna wataaluma waliobobea...

Ni upumbavu mkubwa.
The Way We Behave At This Era.
 
hili ndio fumbo la imani
 
 

Attachments

  • IMG_20240605_072933.jpg
    287.4 KB · Views: 2
Nimeshasema hao wanatakiwa waombe msamaha kwa serikali na kwa Rais wetu. Wasipende chokochoko kwa Taifa letu na kuleta uchonganishi wao hapa.
Umeshasema we kama nani mla mihogo tu nani anayekujua zaidi ya kujipendekeza?!.
 
Sijui tumelaaniwa na nani..... Tumekuwa na viongozi bogus wanao sahau kuwa wote tutakufa.... Mbaya zaidi tuta acha vizazi vyetu vikiendelea kuteseka kwa utumwa....
Wewe umewajengea nini wanao? hujakopa? utakufa na watu wako watakulipia madeni pia. acheni kujifanya mna uchungu sana unafiki wa kiwango cha juu. Hata sisi tumelipa madeni ya wazee wetu waliyokopa miaka ya 60 kama nchi na watakuja kizazi kingine watalipa. Ila watakuta barabara na miundombinu ipo kwa hiyo watazalisha na watalipa.

Tupunguzeni kidogo kujuwa hebu tuambie nchi gani haina madeni. Bwana mkubwa USA ana madeni mpaka halipiki sembuse sisi.
 
100%
 
Mimi ni lazima niwe fair pamoja na kutofautiana na serikali tena kwenye mengi uamuzi wa kuchukuwa mkopo wa $2.5B ni mzuri kwasababu zifuatazo
1. Mkopo wa muda mrefu
2. Riba nafuu
3. Nchi itaingia uchumi wa kati na itakuwa ngumu baadae kupata mikopo hii

Sehemu ambayo nina wasiwasi ni matumizi. Kuchukuwa mkopo na kwenda kununua magari hapo ndipo matatizo ya naanza. Serikali hii matumizi yake sio mazuri kabisa

Lakini kwenye mkopo wenyewe wanafikiri vizuri
 
Mkopo ni matumizi hata kama riba ni ndogo,hayo matumizi yataongeza gharama nyingine ambazo serikali hii hii itakopa Tena kwa hayo matumizi
 
Bora hata wange'boost kwa kutoa mikopo yenye riba nafuu, ku'subsidize kikokotoo, mishahara na kandarasi za ndani ili hela ishuke kwa wananchi, ku'stimulate uchumi
Magari is mad NONSENSE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…