VoA watolea ufafanuzi taarifa ya Masharti ya Mkopo wa Korea Kusini kwa Tanzania

VoA watolea ufafanuzi taarifa ya Masharti ya Mkopo wa Korea Kusini kwa Tanzania

Trilion 6 is no joke..
Wahusika jikazeni basi mkumbuke ustawi wa wananchi muachane na hizo V8 LC300..kwanza mbayaaa heri hata LC200
 
Sisi tutaanza kuwakopesha Lini?

Hivi Tanzania kuna nchi tumewai ikopesha?

Britanicca
 
Bora hata wange'boost kwa kutoa mikopo yenye riba nafuu, ku'subsidize kikokotoo, mishahara na kandarasi za ndani ili hela ishuke kwa wananchi, ku'stimulate uchumi
Magari is mad NONSENSE
👍👌👏👏
 
Huu ni uchifu mangungo haiwezekani kwamba eti mtu akupe mkopo halafu na pia akusaidie eti kujenga bandari huo ni uwongo waweke hadharani huo mkataba tuusome
 
Back
Top Bottom