danjaboy
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 236
- 401
Imekuweje mbadilishe vifurushi ghafla tena bila taarifa? Hivi Watanzania mmewaona ni matajiri sana au matahira kiasi cha kufanya mnabadilisha vifurushi hovyo,fikiria kifurushi cha wiki moja chenye GB 17 cost yake ilikuwa elfu kumi na tano,sasa hv mmepunguza mpaka gb 12 kwa bei ile ile, kibaya zaidi mmelimit muda wa matumizi kwa masaa kadhaa kama siyo wizi na utapeli ni nini?
Naomba kujua mamlaka zinazohusika mnalijua hili na mmenyamaza au kila mmoja apambane na hali yake?
Hii haikubaliki kwa kweli laini yenu naitupa na natangaza rasmi kuwa balozi mzuri wa kuelezea maovu mnayoyafanya.