Vodacom acheni wizi wa waziwazi

Vodacom acheni wizi wa waziwazi

Attachments

  • C1F8A686-2CA1-4E91-9831-D7F2CFC9FD4D.png
    C1F8A686-2CA1-4E91-9831-D7F2CFC9FD4D.png
    34.6 KB · Views: 1
  • 127AD7F4-8318-4C04-94FF-EF62ADE06898.png
    127AD7F4-8318-4C04-94FF-EF62ADE06898.png
    35.8 KB · Views: 1
Mkuu mimi voda kifurushi cha mwez wananipa gb7 na sio 10 na zina kata balaaa narudi zangu tiGo.
Tigo na Voda ni mtu na Binamu yake. Nilipohangaika sana na hii mitandao nilihamia Airtel sikuipenda ilikuwa slow sana, kisha nikaenda Halotel nikapata furaha kwa mda flani wakatubadilikia napo...nilopojaribu Zantel nilipata pumziko la nafsi sasa. Naelekea mwaka wa 3 sasa offer hazibadiliki hovyo na vifurushi vinauzwa kwa uaminifu. Havichakachuliwi yani sio unauziwa 1GB ya kiini macho kumbe umepewa 500MB kwa uhalisia.

To prove that, tunaweza play content kwa youtube wote tukiwa na 1GB ila utashangaa ww MB zimekata mimi zangu bado zipo.😂😂😂!!! Nina uhakika huwez angalia movie ukaimaliza kwa 1GB ila mie namaliza bila stress.
 
Yani hawa voda wanaendelea kuwatesa sababu mnawaendekeza sana pamoja na upuuzi wao wote.....hivi kwa kuhama ni mpaka ukate viza ubalozi wa china nyie mbwehaaa!!??
 
Tigo na Voda ni mtu na Binamu yake. Nilipohangaika sana na hii mitandao nilihamia Airtel sikuipenda ilikuwa slow sana, kisha nikaenda Halotel nikapata furaha kwa mda flani wakatubadilikia napo...nilopojaribu Zantel nilipata pumziko la nafsi sasa. Naelekea mwaka wa 3 sasa offer hazibadiliki hovyo na vifurushi vinauzwa kwa uaminifu. Havichakachuliwi yani sio unauziwa 1GB ya kiini macho kumbe umepewa 500MB kwa uhalisia.

To prove that, tunaweza play content kwa youtube wote tukiwa na 1GB ila utashangaa ww MB zimekata mimi zangu bado zipo.😂😂😂!!! Nina uhakika huwez angalia movie ukaimaliza kwa 1GB ila mie namaliza bila stress.
Dah! MAmbo ndo hayo wacha niende zantel
 
Dah! MAmbo ndo hayo wacha niende zantel
Nakuhakikishia utakuja na mrejesho kuwa siku zote ulikuwa wapi? Zantel ni sawa na kumpata demu bikra miongoni mwa ma Slayqueen 😂😂😂!

Kuhusu vocha we jitumie salio kwenye ezy pesa (hii ni kama Mpesa ya Zantel) kisha unajiunga vifurushi juu kwa juu.
 
Hivi kuna watu bado mnakomaa na voda mimi kitambo natumia huu mtandao kupokea tu bando nanunua kupitia halopesa
 
Sasa kwa dar sisi wa ubungo mbez kimara tutapata wapi line za zantel?
Tigo na Voda ni mtu na Binamu yake. Nilipohangaika sana na hii mitandao nilihamia Airtel sikuipenda ilikuwa slow sana, kisha nikaenda Halotel nikapata furaha kwa mda flani wakatubadilikia napo...nilopojaribu Zantel nilipata pumziko la nafsi sasa. Naelekea mwaka wa 3 sasa offer hazibadiliki hovyo na vifurushi vinauzwa kwa uaminifu. Havichakachuliwi yani sio unauziwa 1GB ya kiini macho kumbe umepewa 500MB kwa uhalisia.

To prove that, tunaweza play content kwa youtube wote tukiwa na 1GB ila utashangaa ww MB zimekata mimi zangu bado zipo.[emoji23][emoji23][emoji23]!!! Nina uhakika huwez angalia movie ukaimaliza kwa 1GB ila mie namaliza bila stress.
 
Halafu data za vodacom zinaisha haraka balaa.
Jana nimeunga kifurushi cha gb 7 lengo kinivushe wiki cha ajabu baada ya masaa kama 6 nacheck salio zimebak 3.2gb, wakati tigo 7 gb natumia kwa wik 2
Inategemea speed ya intaneti. Tigo na Airtel lazima upige revolutions za kutosha kabla ya kupakua ama kufungua media yako. Sasa hasara iko wapi???
 
Inategemea speed ya intaneti. Tigo na Airtel lazima upige revolutions za kutosha kabla ya kupakua ama kufungua media yako. Sasa hasara iko wapi???
Hapana kwa hili nakataa mkuu spid haitofautian sana ukizingatia tigo nina tumia 4G na voda natumia lain ya 3G. Ila cha kushangaza 7gb za tigo nimetumia kwa siku 14 ila hiz za voda ndani ya masaa takriban 6 tu nimetumia Gb 3.9 na wakati matumiz yalikuwa ya kawaida kama siku zote.
 
Basi jaribu kufanya research ya kutosha isiwe to insidenti ya siku moja ukaleta hitismisho. Unaweza kuwa ulichofanyia data za Tigo na Vodacom ni tofauti, kuna pia background applications, updates huwa zinakula Mbs balaa. Nachojua Tigo & Airtel ni VERY SLOW. Vodacom ndo Sisiemu aiseee. Sijajaribu Halotel na Zantel labda nitashawishika kwa maelezo kidogo ya Extrovert
 
Imekuweje mbadilishe vifurushi ghafla tena bila taarifa? Hivi Watanzania mmewaona ni matajiri sana au matahira kiasi cha kufanya mnabadilisha vifurushi hovyo,fikiria kifurushi cha wiki moja chenye GB 17 cost yake ilikuwa elfu kumi na tano,sasa hv mmepunguza mpaka gb 12 kwa bei ile ile, kibaya zaidi mmelimit muda wa matumizi kwa masaa kadhaa kama siyo wizi na utapeli ni nini?

Naomba kujua mamlaka zinazohusika mnalijua hili na mmenyamaza au kila mmoja apambane na hali yake?

Hii haikubaliki kwa kweli laini yenu naitupa na natangaza rasmi kuwa balozi mzuri wa kuelezea maovu mnayoyafanya.

View attachment 1648674View attachment 1648676
Vodacom ni "AZAM TV" wa kwenye Simu,
Sijui hata wanaowasimamia hawa wanafanya kazi gani,
Watu wanajipangia tu bei hakuna wa kuwafanya chochote.
 
Back
Top Bottom