Vodacom acheni wizi wa waziwazi

danjaboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
236
Reaction score
401
Imekuweje mbadilishe vifurushi ghafla tena bila taarifa? Hivi Watanzania mmewaona ni matajiri sana au matahira kiasi cha kufanya mnabadilisha vifurushi hovyo,fikiria kifurushi cha wiki moja chenye GB 17 cost yake ilikuwa elfu kumi na tano,sasa hv mmepunguza mpaka gb 12 kwa bei ile ile, kibaya zaidi mmelimit muda wa matumizi kwa masaa kadhaa kama siyo wizi na utapeli ni nini?

Naomba kujua mamlaka zinazohusika mnalijua hili na mmenyamaza au kila mmoja apambane na hali yake?

Hii haikubaliki kwa kweli laini yenu naitupa na natangaza rasmi kuwa balozi mzuri wa kuelezea maovu mnayoyafanya.

Mamlaka zinazohusika mmelala hamfanyi kazi zenu inavyotakiwa,mnamfanya rais kutumia nguvu kubwa kwa ujinga wa wachache mlioamua kulala kwa makusudi na kula mishahara ya bure
 
Nawapongeza Vodacom kwa internet ya kasiiiiiii dah! "Vodacom, Kazi ni Kwako!"

Baada ya Sisiemu anafuatia Vodacom. Maendeleo hayana vyama
 
Nimeshangaa sana...
Inasikitisha sana... Hawa jamaa kila kukicha wanapandisha gharama kiholela...

Cc: mahondaw
 
Halafu data za vodacom zinaisha haraka balaa.
Jana nimeunga kifurushi cha gb 7 lengo kinivushe wiki cha ajabu baada ya masaa kama 6 nacheck salio zimebak 3.2gb, wakati tigo 7 gb natumia kwa wik 2
 
Mimi line ya voda ni ya kupokelea calls tu labda na kutuma sms.
Vifurushi vya internet natumia line zingine. tigo, halotel au airtel.
 
Mamlaka zinazohusika mmelala hamfanyi kazi zenu inavyotakiwa,mnamfanya rais kutumia nguvu kubwa kwa ujinga wa wachache mlioamua kulala kwa makusudi na kula mishahara ya bure

Rais wa tff alisikika siku moja akisema anatamani kufunga mitandao ya kijamii... Labda ameanza kupunguza bando la internet...
 
Penda unapopendwa, achana na Slayqueen huyo atakuua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nawapongeza Vodacom kwa internet ya kasiiiiiii dah! "Vodacom, Kazi ni Kwako!"

Baada ya Sisiemu anafuatia Vodacom. Maendeleo hayana vyama
Nawapongeza pia waendelee kuwanyoosha wapuuzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!! Kupanga ni kuchagua bana, ukikubali kuolewa sharti kulala bila chupi! Usiite watu wasumbufuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Halafu data za vodacom zinaisha haraka balaa.
Jana nimeunga kifurushi cha gb 7 lengo kinivushe wiki cha ajabu baada ya masaa kama 6 nacheck salio zimebak 3.2gb, wakati tigo 7 gb natumia kwa wik 2
Kwani mtandao ni Voda pekee si muhame wazee 🀣🀣🀣 nyie ndio mnawaendekeza hao wapuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…