Vodacom huduma ya MGODI wanazingua sana

Vodacom huduma ya MGODI wanazingua sana

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
964
Reaction score
2,675
Line yangu ya Vodacom haina deni nimejiwekea akiba yangu ya milioni 1 huko mgodi nataka kutoa toka last week pesa haitoki nimewapigia huduma kwa wateja option ya kuongea na watoa huduma siipati.

Mwenye uzoefu kwenye hii changamoto naomba msaada.
 
[emoji28][emoji28] ngoja niamishe pesa zangu M pawa niwa pige na tukio kabsa
 
Line yangu ya Vodacom haina deni nimejiwekea akiba yangu ya milioni 1 huko mgodi nataka kutoa toka last week pesa haitoki nimewapigia huduma kwa wateja option ya kuongea na watoa huduma siipati.

Mwenye uzoefu kwenye hii changamoto naomba msaada.
Tigo kibubu wapo vizuri
 
Hii hali ndiyo inatukuta hivi sasa je ulifanikiwa kuitoa?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom