Engager
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 1,522
- 3,255
Nilikuwa naupenda sana mtandao huu. Lakn sasa naona unanichosha. Kero tupu. Mi nijuavyo mtandao wa sm za mkonon kaz yake n kuleta mawasiliana, si mawasiliano2 bali mawasiliano bora. Ths is the main haya mengine ni sub tu. Knacho nishangaza mimi kwa hawa ndugu zetu voda wanafanya mawasiliano kuwa magum, hasa nyakat za usiku. Unataka kumpigia m2 sm watakusumbua weee! Et error in network, utarudia karbia mara kumi ndo wakuunganishe. Wakati mwingine unaweza ukatuma sms, inaenda lakn haimfikii mlengwa hadi et utume ya pili ndo utaona zinamfikia tena zote mbili. Sasa sjui hili tatzo lipo huku Geita tu au ni nch nzima. Tena naona walipobadili tu sera yao ya 'MTANDAO UNAOONGOZA TZ' nakua 'KAZI NI KWAKO' mafyongo yakaanzia hapo. Sasa sjui hii kampuni imeuzwa kwa mchina!!. Watu wa voda fanyien kaz hili. Imeshakuwa kero.