Vodacom imetutangazia hasara vipi kuhusu faida na fedha za CSR?

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Nimemuona CEO wa Vodacom akijiingiza kwenye Siasa kwa kujidai kuonesha hasara wanayoipata eti watu kuacha kutumia miamala.
Sijawahi kumsikia akitutajia faida ipatikanayo na zaidi sijawahi kusikia shule,zahanati ,au kituo cha afya kilichojengwa kwa fedha za Corporate Social Responsibility kutoka vodacom.
 
Argument yako ninini hasa?
 
wewe ndo unaleta siasa za kijinga ,CEO wa Vodacom yeye ndo anaona hasara na takwimu ya watumiaji wa miamala inavyoshuka ,we baki kukata mauno huna facts
 
wewe ndo unaleta siasa za kijinga ,CEO wa Vodacom yeye ndo anaona hasara na takwimu ya watumiaji wa miamala inavyoshuka ,we baki kukata mauno huna facts
Takwimu zilivyokuwa zinapanda mbona hakusema?Tukiwarank kwenye ulipaji kodi wanatokea number ngapi?
 
Kama hujawahi kusikia kazi iliyofanywa na Vodacom foundation utakuwa lipumbavuuu!
 

Mchungaji makini ni yule anayeacha ng'ombe wake 99 na kwenda kumtafuta m1 aliyepotea.
 
Corporate Social Responsibility huwa inatakiwa kulipwa na wawekezaji kama Vodacom tu au ni Kila mwekezaji hapa nchi?
 
Jingalao atabaki kua jingalao tu mnapopewa pesa za kuhonga wapiga kula huwa mnatangaza?
 
Wewe jamaa unaponzwa tu na hili jina lako! jingalao! Kwa ujinga wako, unadhani kila mtu anapenda/anafurahishwa na porojo na upuuzi wa yule jingalao mwenzako Mwigulu Nchemba!
 
Hii ndio sababu ya Tanzania kupandishiwa tozo yaani jamaa kasimama na kutoa pointi hizo ili Tozo zifutwe na wewe unaleta hoja gani.
Kweli kama CCM Music Inavyo sound kwamba tutaisoma namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…