Vodacom imezeeka sasa.

Vodacom imezeeka sasa.

Engager

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
1,522
Reaction score
3,255
Yaani kukatika mtandao wa vodacom limekuwa suala la mala kwa mala. Si mtandao wa kupiga si data. Limekuwa suala la kawaida.

Zamani tulikuwa tunapewa taarifa, lakini naona hata wao wamechoka sasa kutoa taarifa. Wanakata tu.

Kuna ile huduma ya M-koba, yaani matatizo kibao. Mwanachama anaweza kutoa mchango na wasitume ujumbe. Ukiuliza utaambiwa mfumo. Siku tukataka kutoa pesa kwenye kikundi pesa haitoki. Tukawapigia tukaambiwa mfumo, tusubiri ndani masaa 48.

Hadi muda huu naandika uzi huu, mtandao wa voda umekata. Najiuliza, kama mtu unashida ya pesa M pesa unafanyaje.

Huu mtandao wasipochukua hatua haraka utakufa vibaya.
 
Imenikuta hiyo mkuu
Hela ipo m koba na mm lain niliungwa kama mweka Hazina
Nilipopata kazi sehemu nilipokua MTANDAO haupo ikapelekea line kufungwa
Sasa nataka kutoa Hela haitok na line alishapewa mtu mwingine
Sijui nafanyaje mkuu
Wenzangu wamejaribu kunifuta imekataa Ili waunganishe mwingine imegoma daaah
 
Laaana za Kabendera
 
Kwa ishu yako hiyo suluhisho ni kwenda vodashop mtasaidiwa huko..
 
Yaani kukatika mtandao wa vodacom limekuwa suala la mala kwa mala. Si mtandao wa kupiga si data. Limekuwa suala la kawaida.

Zamani tulikuwa tunapewa taarifa, lakini naona hata wao wamechoka sasa kutoa taarifa. Wanakata tu.

Kuna ile huduma ya M-koba, yaani matatizo kibao. Mwanachama anaweza kutoa mchango na wasitume ujumbe. Ukiuliza utaambiwa mfumo. Siku tukataka kutoa pesa kwenye kikundi pesa haitoki. Tukawapigia tukaambiwa mfumo, tusubiri ndani masaa 48.

Hadi muda huu naandika uzi huu, mtandao wa voda umekata. Najiuliza, kama mtu unashida ya pesa M pesa unafanyaje.

Huu mtandao wasipochukua hatua haraka utakufa vibaya.
Mkuu note this sizungumzii voda.

Ila mifumo yetu ya hizi kampuni inaweza kusajili taarifa zako bila fingerprint, namaanisha achana na ile ya mtaa wanakugusisha kidole mara mbili,
Ila amini ni very poor haiwezi kubwa unajielewa alafu unatumia mifumo yenye reported mass bug, wala usiwalaumu ngoja niangalie penalty ya simba nitaendelea
 
Back
Top Bottom