Engager
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 1,522
- 3,255
Yaani kukatika mtandao wa vodacom limekuwa suala la mala kwa mala. Si mtandao wa kupiga si data. Limekuwa suala la kawaida.
Zamani tulikuwa tunapewa taarifa, lakini naona hata wao wamechoka sasa kutoa taarifa. Wanakata tu.
Kuna ile huduma ya M-koba, yaani matatizo kibao. Mwanachama anaweza kutoa mchango na wasitume ujumbe. Ukiuliza utaambiwa mfumo. Siku tukataka kutoa pesa kwenye kikundi pesa haitoki. Tukawapigia tukaambiwa mfumo, tusubiri ndani masaa 48.
Hadi muda huu naandika uzi huu, mtandao wa voda umekata. Najiuliza, kama mtu unashida ya pesa M pesa unafanyaje.
Huu mtandao wasipochukua hatua haraka utakufa vibaya.