Babu wa Loliondo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 323
- 105
- Thread starter
- #21
Na kama huna salio huwez kujiunga na hio huduma maana inatozwa hela kama unafanya mwamala wa sim banking maana hio ni huduma ilibuniwa na CMSA na DSE.Mnatakiwa mjiunge *150*36# fuata maelekezo