Unaweza kununua katika matawi yote ya Benki ya NBC nchini.
Sio kweli kwenye prospectus yao ni NBC Iliyopo samora (corporate branch) pale dsm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kununua katika matawi yote ya Benki ya NBC nchini.
Naomba nikutumie namba pm halafu ukija unipe maelezo mawili matatuUnaongea point.
0716479547 mkuu no yangu hyo ya watsap. Nitumie.Pm namba yako ya whatsapp nikutumie or email
Sio kweli kwenye prospectus yao ni NBC Iliyopo samora (corporate branch) pale dsm
NBC branches zote,Samora branch ni kwa ajili ya brokersSio kweli kwenye prospectus yao ni NBC Iliyopo samora (corporate branch) pale dsm
Let wait wakuu waje kutusaidiaNami natamani kujua
Kama umefuatilia kwa makini hisa za voda zinafaida sanaSijui kuna nini
nimeenda Crdb wanasema Vodacom hisa hawajui lolote
nasikia ni bank moja tu NBC ndo watauza
sijaelewa kuna nini?
Halafu kumbe market share ya voda ni 31 tu asilimia?
na Tigo 29? tofauti ni asilimia 2 tu?
Voda si waliwahi kushika soko zaidi ya asilimia 50?
Naona kama hizi hisa zina longo longo hivi...
Hapana ni NBC tuu ndio aliyeshinda tender ya kua collecting bank
Unaongea point.