Vodacom kuanza kuuza hisa Machi 9

Vodacom kuanza kuuza hisa Machi 9

Sio kweli kwenye prospectus yao ni NBC Iliyopo samora (corporate branch) pale dsm

b4d1038ec65d535e2d0c1468767a03eb.jpg
2e6ca0c5b4d8fd3e0e2ed7e5a05158a0.jpg


Ninayo Prospectus na hayo
Ndio Matawi yote NBC unapoweza nunulia hisa.
 
naomab kujua kama tigo wanzo hisa zao na wanauza kiasi gani.
na je naona kama ziko expensive hiv?
 
Hallo vipi hawa voda wezi sana unajua ? Msidanganyike bora ununue kwa njia ya bank kuliko mtandao waooo mnaibiwa wakuuu nimepigwa buku tano ya fasta kujisajiri tu ...
 
Habar za mchana wakuu.Naombeni msaada na ushaur wenu kuhusu hisa za vodacom.. Ikiwemo namna ya kununua kupitia njia ya simu
 
Habar za mchana wakuu.. Naombeni msaada wenu kuhusu hisa za vodacom.. Ikiwemo kununua kwa njia ya simu na soko la hisa kwa ujumla hapa nchini
 
Sijui kuna nini
nimeenda Crdb wanasema Vodacom hisa hawajui lolote

nasikia ni bank moja tu NBC ndo watauza

sijaelewa kuna nini?

Halafu kumbe market share ya voda ni 31 tu asilimia?
na Tigo 29? tofauti ni asilimia 2 tu?

Voda si waliwahi kushika soko zaidi ya asilimia 50?

Naona kama hizi hisa zina longo longo hivi...
 
Naona vodacom benki inayofanya kazi nayo ni NBC ndomana wamewapa dili hiyo ya kuwauzia hisa
 
Mkuu mimi binafsi naona ni opportunity nzuri sana kuwekeza kwenye Telecoms. nilitumiwa prospectus yao nikaisoma ipo vizuri wanatengeneza profit baada ya kodi ni bil. 29. ingawa imeshuka kutoka bil 32 mwaka 2015 na bil 128 mwaka 2014. hii inatokana na competition kuwa kubwa lkn wanaongoza kwenye market share. na pia ukiongelea Vodacom unaongelea global kila mtu anaitolea macho. Dividend ni 50% profit itakayopatikana kwa mwaka. Najua wengi wetu ni speculators na tunategemea price appreciation ili kufaidika. Vodacom haitofilisika leo wala kesho na kama opportunity kama hii ikipatikana ya ku participate katika IPO sio ya kuacha wakuu.
 
Sijui kuna nini
nimeenda Crdb wanasema Vodacom hisa hawajui lolote

nasikia ni bank moja tu NBC ndo watauza

sijaelewa kuna nini?

Halafu kumbe market share ya voda ni 31 tu asilimia?
na Tigo 29? tofauti ni asilimia 2 tu?

Voda si waliwahi kushika soko zaidi ya asilimia 50?

Naona kama hizi hisa zina longo longo hivi...
Kama umefuatilia kwa makini hisa za voda zinafaida sana
 
Huu uzi niliuanzisha na nikaweka contacts hapo juu kwa yeyote atakayehitaji maelezo zaid ila mode walizitoa sasa sijui kwa nini,ila kama unahitaji maelezo zaid basi nicheck 0622 019095.
Watu wengi wanatoa taarifa nyingi za kukanganya,mara voda wez mara huduma mbovu,
 
Unaponunua hisa hununui huduma bali unakua miongoni mwa wamiliki wake na unakua na haki ya kushiriki ktk mkutano mkuu wa wanahisa na utakua na iwezo wa kuchagua bodi ya wakurugenzi pia.
So tutofautishe huduma za wafanyakazi na uwekezaji.
 
Back
Top Bottom