Vodacom kuanza kuuza hisa Machi 9

Nadhani kwa sasa mpesa ndio inawatoa
Kumekuwa na muanguko katika voice calls hasa international calls bila shaka hili limechangiwa na massive data penetration. Na ni kweli kwamba M-Pesa inawapa faida kubwa sana na that's why investors will put their money.
 
Juzi tu kuna watu wamejiunga handle via Mpesa lkn majibu hayakurudi!mpaka sasa ....vodacom wanapigiwa customer service hawapokei sim Vodacom mtandao wa kihuni kabisa....hisa hzo sana sana wafawaibia wateja
Wao tu

Ova
Duh pole.
 
Naomba ma mods wa jf waiweke thread juu kwa muda wote ambao IPO inaendelea
 
Kumekuwa na muanguko katika voice calls hasa international calls bila shaka hili limechangiwa na massive data penetration. Na ni kweli kwamba M-Pesa inawapa faida kubwa sana na that's why investors will put their money.
Unaongea point.
 
Faida ya hisa ikoje ?
1.Gawio kama kampuni itapata faida baada ya kodi,na kwa Voda watagawa angalau 50% ya faida baada ya kodi.
2.Faida ya ongezeko la mtaji (capital gain) hii utaiona pale ambapo bei ya hisa itapanda zaid ya bei uliyonunulia.
3.Unakua miongoni mwa wamiliki wa voda kwa hio utashiriki ktk EGM ya kuchagua bodi ya wakurugenzi
4.Unaweza kutumia hisa zako kama dhamana na ukapata mkopo kulingana na dhamani ya hisa zako kwa mda huo kwa bei ya sokoni.
 
Thankss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…