Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Bei zinapandaNimepokea sms ya Vodacom asubuhi ikinijulisha kuwa kuanzia 16/08/2021kutakuwa na mabadiliko ya vifurushi. Mpaka sasa sijajua ni Vodacom pekee au na mitandao mingine nao watapandisha.
Sms hiyo haijaweka wazi kama vifurushi vitapanda au vitapungua lakini kwa fikra zangu naona vifurushi vitapanda hasa upande wa data/internet!
Unategemea nini kwenye mabadiliko ya vifurushi vya Vodacom?
View attachment 1891714
Bibi ushungi kachachamaa wanaongeza beiNimepokea sms ya Vodacom asubuhi ikinijulisha kuwa kuanzia 16/08/2021kutakuwa na mabadiliko ya vifurushi. Mpaka sasa sijajua ni Vodacom pekee au na mitandao mingine nao watapandisha.
Sms hiyo haijaweka wazi kama vifurushi vitapanda au vitapungua lakini kwa fikra zangu naona vifurushi vitapanda hasa upande wa data/internet!
Unategemea nini kwenye mabadiliko ya vifurushi vya Vodacom?
View attachment 1891714
Naona sasa suala limeshashughulikiwa...watapandisha kwa raha zao.Vigezo na Masharti Kuzingatiwa, bila shaka tunarudia vile vifurushi vilivyositishwa awali...hongera kwa wadau wote kwa kulishughulikia hila suala😊View attachment 1891748
mtaambiwa ni tozo maalum za kujenga madaraja vijijini.Wataleta vifurushi vya kizalendo zaidi 😊