Vodacom kubadili vifurushi kuanzia jumatatu 16/08/2021

Vodacom kubadili vifurushi kuanzia jumatatu 16/08/2021

Zantel hao

B8F242C5-A2C7-4230-9F79-5DEE4B41C35A.jpeg
 
Nimepokea sms ya Vodacom asubuhi ikinijulisha kuwa kuanzia 16/08/2021kutakuwa na mabadiliko ya vifurushi. Mpaka sasa sijajua ni Vodacom pekee au na mitandao mingine nao watapandisha.

Sms hiyo haijaweka wazi kama vifurushi vitapanda au vitapungua lakini kwa fikra zangu naona vifurushi vitapanda hasa upande wa data/internet!

Unategemea nini kwenye mabadiliko ya vifurushi vya Vodacom?

View attachment 1891714
Mitandao iko mingi usipate tabu mkuu,
 
pumbv zao jumapil usiku naunga cha wiki kabla hawajabadirsha....ubaya ubaya tu wakiamua wavitoe kabsa tutawasiliana hata kwa njia za ujima za kupuliza pembe la ngombe na kutuma barua kwa posta..pumbv
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kufikia kesho Tozo kwenye miamala ya simu zina maliza mwezi 15/07-- 15/08,

Tuna imani wameshaona muelekeo wa mapato ile Average Transactions ya 2,700,000 kwa siku kwenye mtandao wa Tigo imeshuka sana na mingine as well, Rais Samia ile kamati uliyo unda mpaka sasa itakua na Majibu ni namna gani hizo Tozo zipunguzwe / ikiwezekana ziondolewe.
Zipunguzwe?!

WATOEEEEE UUPUUUMBAVUUUU HUO MBWA HAO..... SHEEEEEEEEEENZIIIIIII

NANI ALISHAWAHI KUOMBA TOZO ZIWEKWE.
 
Mimi Halotel wamenitumia hio msg nikapiga ili kuuliza ni mabadiliko gani,

Customer care wao alivyopokea kaniambia subiri kidogo nikishuka nipo kwenye boda boda.
Kwanin hao halotel nakatwa pesa Kila nikiweka salio nikiuliza naambiwa nimejiunga huduma fulani hivi ni Mimi tu au kuna mwingine
 
Mchakato wa kuleta bei mpya ulianza April na sasa umekamilika😊
Hlo ilikuwa wakat wa tamko la waziri vifurushi vikabadilishwa tukapga kelele wakasema vrudi kama zaman
 
Back
Top Bottom