Vodacom kubadili vifurushi kuanzia jumatatu 16/08/2021

Watu mnasahau sana lakini tatizo ni kufuatilia umbeya zaidi kuliko mambo ya msingi.

Leo tarehe 15 August ile kodi ya uzalendo kwenye vocha inaanza kukatwa ndiyo maana wanatangaza mabadiliko ya vifurushi ili tozo hiyo iweze kukatwa.

Watanzania tuna huruma sana na serikali yetu.
 
TZ na africa kiujumla customer care kila sehemu ni disaster
 
Watu mnasahau sana lakini tatizo ni kufuatilia umbeya zaidi kuliko mambo ya msingi.

Leo tarehe 15 August ile kodi ya uzalendo kwenye vocha inaanza kukatwa ndiyo maana wanatangaza mabadiliko ya vifurushi ili tozo hiyo iweze kukatwa.

Watanzania tuna huruma sana na serikali yetu.
 
naona vifurushi vimeshabadilika..... naona ile kodi ya kwenye vocha ndio imeanza aiseeeeee lazima tujambeeeee
 
Hii ni kwa mitandao yote .Mimi nimepokea sms kutoka halotel
 
Ndugu mteja, tumesitisha mabadiliko ya vifurushi yaliyotarajiwa kufanyika tar.16/08/2021 mpaka utakapojulishwa tena. Asante!
 
Hallotel ndio habari ya mjini
Hello, Please be informed that we will review our bundles on 16/08/2021. Continue to enjoy quality services from Vodacom. Terms and Conditions apply.

Nipo Halotel hii imebaki tu pambo kwenye kimeo changu
 
Nikajua tena wamerudia.
Kwako kupoje mkuu. Me naona wenge tu kwenye uni offer, saiz naona ata kile cha ya kwako tu wamenibadilishia. But cha kushangaza nilinunua saa kum kifurush cha buku iki niangalie mpira wa simba wakanipa 1.5 gb alafu dak 50 wiki moja ila wameandika ni kifurushi cha 5000.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Niliogopa nilipoona sms nikajua labda nilinunulia mpesa kumbe hapanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…