Airtel zile MB 500 zinakata fasta unaweza hisi simu ina tobo mpaka kuna muda najisachi mfukoni kuangalia huenda zilidondokea mfukoni.Naona wameamua kutuumiza, huku Airtel bando linakata kama v8 inavokula wese.
Nimekuwa mfuasi mkubwa huku.Halotel sihami
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Airtel zile MB 500 zinakata fasta unaweza hisi simu ina tobo mpaka kuna muda najisachi mfukoni kuangalia huenda zilidondokea mfukoni.
Bora 1GB na kuendelea zinavumilia.
Kasi iko vizuri mkuu na bando haliliki kwa kasiChangamoto ni kasi ya mtandao, hawa nasikia kuna siku wako vizuri kuna siku wanasuasua lakini nao wakipata wateja wengi utawaona watachofanya
Hadi wiki ijayo iishe Halotel nao watapandisha bei kwa kasi ya uchumi wa kati chini.Halotel sihami
Utamu wa halotel ni kuwa, muda wa bando ukiisha bando linaonekana limeisha, ila ukinunua lingine lile bando lililobaki(mf MB) zinajumlishwa na hizi ulizonunua upya.haloteli ni the best kwenye bando na hua haliwai kukata sasa wewe fikilia sms 5000 kwa mwezi tsh 1000 hawa hewateli 1000 sms 1000 kwa mwezi Voda sasa ndo usipime 2000 sms kwa mwezi tigo 1500 sms kwa mwezi.Halotel waki improve kasi yao ya internet vijijn kama voda itakua raha sana.
[emoji23] lisu kakushtua nini mkuuhadi wiki ijayo iishe Halotel nao watapandisha bei kwa kasi ya uchumi wa kati chini.
Wamepewa maelekezo na serikali ya wanyonge watunyonge mpaka tujute kuzaliwa.Nilizoea kujiunga Vifurushi vya aina mbili vya wiki 2Gb kwa Tsh.3,000/= au 4Gb kwa Tsh.5,000/= Leo nimekutana na hali tofauti, 1Gb kwa 3,000/= na 2GB kwa 5,000/= kwa kweli nimechanganyikiwa kidogo hasa ukiangalia hali tunayoipitia mtaani.
Mbona hii mitandao imekuwa na upandishaji wa gharama kiholela tu? Huku tunakokwenda sio kuzuri jamani.
Hebu TCRA ingilieni kati na Mamlaka za kulinda haki za wateja.