holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,793
- 9,101
kweli kabisa wenyewe hua hawachukui chao kama umeunga mapema kabla ya kuisha muda.Utamu wa halotel ni kuwa, muda wa bando ukiisha bando linaonekana limeisha, ila ukinunua lingine lile bando lililobaki(mf MB) zigajumlishwa na hizi ulizonunua upya.
Hapa nilipo nina SMS 58,875 ambazo muda wake unaisha kesho(huwa nanunua kwa wiki kwa 475/= kupitia Halopesa, kwa salio la kawaida ni 500/= unapata sms 3,000).
Kesho sms zikiisha halafu nikinunua zingine zitajumlishwa na hizi 58k ambazo bado zipo(lakini sitaweza kuzitumia endapo muda wake ukiisha).