So vifurushi tu, juzi nilitoa 5,000 mpesa nikakatwa 950 badala ya 800 ya siku zoteNilizoea kujiunga Vifurushi vya aina mbili vya wiki 2Gb kwa Tsh.3,000/= au 4Gb kwa Tsh.5,000/= Leo nimekutana na hali tofauti, 1Gb kwa 3,000/= na 2GB kwa 5,000/= kwa kweli nimechanganyikiwa kidogo hasa ukiangalia hali tunayoipitia mtaani.
Mbona hii mitandao imekuwa na upandishaji wa gharama kiholela tu? Huku tunakokwenda sio kuzuri jamani.
Hebu TCRA ingilieni kati na Mamlaka za kulinda haki za wateja.