Vodacom Kulikoni? TCRA hebu tuokoeni na hizi gharama za Data

Vodacom Kulikoni? TCRA hebu tuokoeni na hizi gharama za Data

Mi pia ni line ya miamala [emoji23][emoji23][emoji23] na ni vile hela zinatoka nje ya nchi ila za hapa hapa ndani ningeua line kabisa ya hawa masheitwani[emoji13]
Hata mimi ni hivyo hivyo, lasivyo ningeshatupilia mbali li-line lao maana msg zao za matangazo zimenichosha hatari.
 
Hata mimi ni hivyo hivyo, lasivyo ningeshatupilia mbali li-line lao maana msg zao za matangazo zimenichosha hatari.
Kila saa Songesha, mara sijui Voda taarifa yani nimejiwekea timming kila saa 4 asubuhi nafuta mamesej yao inbox.
 
Nilizoea kujiunga Vifurushi vya aina mbili vya wiki 2Gb kwa Tsh.3,000/= au 4Gb kwa Tsh.5,000/= Leo nimekutana na hali tofauti, 1Gb kwa 3,000/= na 2GB kwa 5,000/= kwa kweli nimechanganyikiwa kidogo hasa ukiangalia hali tunayoipitia mtaani.

Mbona hii mitandao imekuwa na upandishaji wa gharama kiholela tu? Huku tunakokwenda sio kuzuri jamani.

Hebu TCRA ingilieni kati na Mamlaka za kulinda haki za wateja.
Na Airtel nao wamepandisha kuanzia leo daah hatari wanatupiga kweli
 
Nimetoka tiGo kwa kikimbia utapeli kama huo wanatuuzia 1gb kwa sh 3000/=nimeapa sirudi tiGo tena niko zangu Halotel 1gb kwa sh 1000/=
 
Kila saa Songesha, mara sijui Voda taarifa yani nimejiwekea timming kila saa 4 asubuhi nafuta mamesej yao inbox.
Mie wana kamtindo ka kunitumia msg 6 kila asubuhi za kifurushi changu kuisha mara sina salio. Sasa najiuliza ni kifurushi gani hicho maana sijajiunga na kifurushi chochote nafikiri miezi 8 inafika[emoji2297][emoji2297]
Wanakera basi tu.
 
Huo ujumbe wa "you can no longer make calls huwa unakuja kila nikizima na kuwasha simu" sasa sijui wanazungumzia kifurushi gani maana mi pia sijawahi unga dakika wala sms
 
Huo ujumbe wa "you can no longer make calls huwa unakuja kila nikizima na kuwasha simu" sasa sijui wanazungumzia kifurushi gani maana mi pia sijawahi unga dakika wala sms
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unakumbushwa kwa lazima.
 
Wapuuzi kweli, Tigo wao walinifungia kabisa baada ya kuwafanyia hili jambo la kuwasusia nikawa napokelea simu tu [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaah!! Kumbe ukiisusia wanafunga!!
 
Nimetoka tiGo kwa kikimbia utapeli kama huo wanatuuzia 1gb kwa sh 3000/=nimeapa sirudi tiGo tena niko zangu Halotel 1gb kwa sh 1000/=
Hahahahah Tigo, Voda na Halotel ni 3 Musketeers! jiandae na bomu litakaloelekezwa huko huko Halotel.
 
Mie voda imebaki ya kupokelea hela tu.
Naona wameamua kuigeuza line yangu ya matangazo maana kila wakati ni msg tu za matangazo yao.
Kama mm tu alafu jana wamenipa offer 500mb/week, advertisement Kama zote.nailinda sababu sehem nyingi za kazi , temporary na permanent contact niliweka voda
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaah!! Kumbe ukiisusia wanafunga!!
Eeh baada ya muda utashangaa tu No Service! Ujue tayari washafanya yao ila ukienda Mlimani City pale wanakufungulia chap.
 
nadhani ni agizo maalum la mwenye nchi ili kupunguza idadi ya watu kutafuta taarifa kwenye mitandao na kudhibiti ukosoaji.

ila ninachofurahi hili jambo linatuathiri wote, kuanzia mataga aka mazombi aka timu sifia sifia, upinzani na sisi tusiokuwa na ushabiki wa chama chochote cha siasa.
 
Kama mm tu alafu jana wamenipa offer 500mb/week, advertisement Kama zote.nailinda sababu sehem nyingi za kazi , temporary na permanent contact niliweka voda
Mie afadhali huwa naandika halotel, maana voda wizi hawajaanza leo.
 
Eeh baada ya muda utashangaa tu No Service! Ujue tayari washafanya yao ila ukienda Mlimani City pale wanakufungulia chap.
Oooh!! Kama wanafungua basi hamna mbaya.
 
Back
Top Bottom