Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
50k....kwa mda gan???Kwa sh 50,000/= unapata gb 37 za kasi na hata ukimaliza hizo gb 37 unaendelea kutumia internet mpaka ile tarehe ya bando kuexpire ifike japo wanapunguza kasi kidogo.
Kwa uchumi wa sasa hilo ndio bando sasa la kuunga, maana vile vifurushi vya wiki unatumia siku mbili kimeisha.
Na unakuta unavyojiunga kila siku kwa mwezi unakuta umetumia hela nyingi sana.
Bora utoe 50k yako at once uenjoy maisha na internet yenye kasi toka Vodacom
NB:
Sitaku makasiriko katika uzi huu, kila mbuzi ale urefu wa kamba yake, full stop!!
Mwezi mmoja..50k....kwa mda gan???
Pumbavu umeajiriwa na voda kiwafanyia promo?Kwa sh 50,000/= unapata gb 37 za kasi na hata ukimaliza hizo gb 37 unaendelea kutumia internet mpaka ile tarehe ya bando kuexpire ifike japo wanapunguza kasi kidogo.
Kwa uchumi wa sasa hilo ndio bando sasa la kuunga, maana vile vifurushi vya wiki unatumia siku mbili kimeisha.
Na unakuta unavyojiunga kila siku kwa mwezi unakuta umetumia hela nyingi sana.
Bora utoe 50k yako at once uenjoy maisha na internet yenye kasi toka Vodacom
NB:
Sitaku makasiriko katika uzi huu, kila mbuzi ale urefu wa kamba yake, full stop!!
Naomba ufafanuzi hiko kifurushi kipi vp?Yah mi natumia hicho pia.. ila isije ikawa wamejisahau tu wakaondoa hata hiyo speed ndogo baada ya gb kuisha.
Kwa sh ngap mkuu?Halotel kwa mwezi ni Gb 38.6
Hiyo 50,000 inakuruhusu kuangalia netflix kwa uhuru?Kwa sh 50,000/= unapata gb 37 za kasi na hata ukimaliza hizo gb 37 unaendelea kutumia internet mpaka ile tarehe ya bando kuexpire ifike japo wanapunguza kasi kidogo.
Kwa uchumi wa sasa hilo ndio bando sasa la kuunga, maana vile vifurushi vya wiki unatumia siku mbili kimeisha.
Na unakuta unavyojiunga kila siku kwa mwezi unakuta umetumia hela nyingi sana.
Bora utoe 50k yako at once uenjoy maisha na internet yenye kasi toka Vodacom
NB:
Sitaku makasiriko katika uzi huu, kila mbuzi ale urefu wa kamba yake, full stop!!
Situmii netflix hivyo nashindwa kujib swal lakoHiyo 50,000 inakuruhusu kuangalia netflix kwa uhuru?
Makasiriko tayariPumbavu umeajiriwa na voda kiwafanyia promo?
Halotel hawana mtandao mzuriHalotel kwa mwezi ni Gb 38.6
Kasi internetNaomba ufafanuzi hiko kifurushi kipi vp?
Ni nani aliyekuroga? Umeshindwa kusoma uzi vzr50k....kwa mda gan???
Huenda basi matumizi yako ya data ni madogo sanaSitumii netflix hivyo nashindwa kujib swal lako
Na download sana seriesHuenda basi matumizi yako ya data ni madogo sana
Kwani hapo juu si nmeshatoa ufafanuzi lakinNaomba ufafanuzi hiko kifurushi kipi vp?
Je ni kweli gb zikiisha naweza kuendelea kutumia?Kasi internet View attachment 1993562