Vodacom kwasasa ndio wenye unafuu wa bando la intanet

Vodacom kwasasa ndio wenye unafuu wa bando la intanet

Kwa sh 50,000/= unapata gb 37 za kasi na hata ukimaliza hizo gb 37 unaendelea kutumia internet mpaka ile tarehe ya bando kuexpire ifike japo wanapunguza kasi kidogo.

Kwa uchumi wa sasa hilo ndio bando sasa la kuunga, maana vile vifurushi vya wiki unatumia siku mbili kimeisha.
Na unakuta unavyojiunga kila siku kwa mwezi unakuta umetumia hela nyingi sana.

Bora utoe 50k yako at once uenjoy maisha na internet yenye kasi toka Vodacom

NB:
Sitaku makasiriko katika uzi huu, kila mbuzi ale urefu wa kamba yake, full stop!!
Tabia gani ya kuita watu mbuzi
 
Hizo gb zikikata ni kweli unaweza kuendelea kutumia internet?

CD068BC2-FB40-4AAF-B2AD-68A098458AA5.jpeg
 
Inabidi nijitutumue niunge hiki maana atleast ntakuwa na uhakika wa kuwa na data kwa mwezi mzima bila kuwaza japo tcra wanaweza wakakishugulikia kifurushi hiki😂😂
 
Back
Top Bottom