Vodacom mbona hamuweki option ya kuongea na customer care?

Vodacom mbona hamuweki option ya kuongea na customer care?

Fanya hivi. Tumia option ya kwenye Mpesa. Au wacheki kwa normal sms 100, au WhatsApp pia kwenye mitandao yao ya kijamii.
Wanachokitaka ni kuwatafuta facebook au whatsapp yani ile ya kuongea na mhudumu moja kwa moja wameiondoa! These stupid mvthafvckaz
 
Ukiwasikiliza Bonyeza 2 kwa ajili ya huduma za M-PESA

ii) Bonyeza 2 kujidai umekosea kutuma pesa kimakosa

iii) Bonyeza kuchagua 2 kuwa umetoa pesa kimakosa

iv) Bonyeza 3 kuongea na Mhudumu

Kazi kwisha.
Hio yenyewe kuipata ni kipengele maana wanaishia kukwambia kurudisha muamala fanya moja mbili tatu
 
Kwa hiyo kukurahisha chagua 2 then 2 then 2 then 3.

Lazima kwanza usikilize wakisema bonyeza mbili ndiyo unabonyeza. Lazima ataje namba unayotaka.

Fuata huo mtiririko.

Cc Grena
Thanks, ntajaribu mkuu
 
Hat ukiwa na shda ya kunua bundle inabidi ufate Yale maelekezo yao ya ya Mpesa na ujidai kama vile umekosea ,,.mwsho watakupa nafas ya kuongea na muhudumu wao akipokea tu eleza shida yoyote.
ila ukitafuta nafas ya kuongea na muhudumu kupitia shida zingine huwez kupata hyo nafas watakuzungusha had kesho
 
Wangese sana jana nimenunua luku mpaka muda huu sijapata token wamesababisha nimelala giza mbwa hawa.

nikipiga *150*00# kupata token za luku naletewa token nilizokwisha tumia(used).

ila za muamala niliofanya jana siletewi yaani mpaka muda huu nahisi kuchanganyikiwa kabisa na pesa yangu wamechukuwa kenge hawa.
Vodacom Tanzania
 
mim huwa navizia nasema nimesahau password ndio wananiambia andaa taarifa zako kama uko tayar ongea na mhudumu nikimpata ndio naeleza shida ingine.nashangaa sana kwa nini wanakuzungusha kuongea na customer care

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wakuu,

Karibu wiki Sasa laini yangu ya Vodacom imekuwa na shida. Kila nikijaribu kupiga Ile namba ya huduma kwa wateja 100 ili wanipe maelekezo hamna Option ya kuzungumza na mhudumu zaidi ya zile bonyeza moja, Bonyeza this, Bonyeza that.

Inaamana Vodacom hawana option ya kuzungumza na mhudumu wa wateja moja kwa moja? Mbona mitandao mingine wako very simple ukipiga tu hiyo 100 baada ya option kadhaa unaambiwa kuzungumza na mhudumu wetu Bonyeza inatajwa namba na ndani ya muda mfupi wanakuunganisha naye.

Vodacom hebu kuweni professional, mnaudhi sana sio kila mtu yuko na access ya Voda shop that's why Kuna huduma kwa wateja kupitia sim. [emoji57][emoji57]
Hamia mtandao wanaoweka option ya kuongea na CC
 
Wajinga sana hawa toka wameondoa hiyo nimepunguza matumizi ya data 99% na voice 99.9% katika mtandao wa voda.
Mimi nawapata kwa shida kweli sijui hadi nibonyeze wapi , kwa hili voda wamefeli sana .
 
Mimi nawapata kwa shida kweli sijui hadi nibonyeze wapi , kwa hili voda wamefeli sana .
Nilinunua salio mara mbili mtandaoni lakini halikuonekana na pesa wamekata. Kila mara nikiwatafuta naambiwa bonyeza bonnyeza bonyeza nilibonyesha hadi mwisho naambiwa huduma kwa wateja watanipigia. Bado nasubiri kupigiwa na ilishapita miezi minne sasa.
 
Nilinunua salio mara mbili mtandaoni lakini halikuonekana na pesa wamekata. Kila mara nikiwatafuta naambiwa bonyeza bonnyeza bonyeza nilibonyesha hadi mwisho naambiwa huduma kwa wateja watanipigia. Bado nasubiri kupigiwa na ilishapita miezi minne sasa.
Ooh wanakera sana
 
Back
Top Bottom