Wanachokitaka ni kuwatafuta facebook au whatsapp yani ile ya kuongea na mhudumu moja kwa moja wameiondoa! These stupid mvthafvckazFanya hivi. Tumia option ya kwenye Mpesa. Au wacheki kwa normal sms 100, au WhatsApp pia kwenye mitandao yao ya kijamii.
Hio yenyewe kuipata ni kipengele maana wanaishia kukwambia kurudisha muamala fanya moja mbili tatuUkiwasikiliza Bonyeza 2 kwa ajili ya huduma za M-PESA
ii) Bonyeza 2 kujidai umekosea kutuma pesa kimakosa
iii) Bonyeza kuchagua 2 kuwa umetoa pesa kimakosa
iv) Bonyeza 3 kuongea na Mhudumu
Kazi kwisha.
Mie mwenyewe nilikuwa naitumiaga zamani! Mwisho watakuelekezea uende facebook tu mabwege hawaNlitaka nijaribu ya Mpesa Kumbe nayo yaleyale.
Fuata huo utaratibu hapo juu Mkuu.Hio yenyewe kuipata ni kipengele maana wanaishia kukwambia kurudisha muamala fanya moja mbili tatu
Hamia mtandao wanaoweka option ya kuongea na CCHabari zenu wakuu,
Karibu wiki Sasa laini yangu ya Vodacom imekuwa na shida. Kila nikijaribu kupiga Ile namba ya huduma kwa wateja 100 ili wanipe maelekezo hamna Option ya kuzungumza na mhudumu zaidi ya zile bonyeza moja, Bonyeza this, Bonyeza that.
Inaamana Vodacom hawana option ya kuzungumza na mhudumu wa wateja moja kwa moja? Mbona mitandao mingine wako very simple ukipiga tu hiyo 100 baada ya option kadhaa unaambiwa kuzungumza na mhudumu wetu Bonyeza inatajwa namba na ndani ya muda mfupi wanakuunganisha naye.
Vodacom hebu kuweni professional, mnaudhi sana sio kila mtu yuko na access ya Voda shop that's why Kuna huduma kwa wateja kupitia sim. [emoji57][emoji57]
Wajinga sana hawa toka wameondoa hiyo nimepunguza matumizi ya data 99% na voice 99.9% katika mtandao wa voda.Hii inakera sana
Mimi nawapata kwa shida kweli sijui hadi nibonyeze wapi , kwa hili voda wamefeli sana .Wajinga sana hawa toka wameondoa hiyo nimepunguza matumizi ya data 99% na voice 99.9% katika mtandao wa voda.
Nilinunua salio mara mbili mtandaoni lakini halikuonekana na pesa wamekata. Kila mara nikiwatafuta naambiwa bonyeza bonnyeza bonyeza nilibonyesha hadi mwisho naambiwa huduma kwa wateja watanipigia. Bado nasubiri kupigiwa na ilishapita miezi minne sasa.Mimi nawapata kwa shida kweli sijui hadi nibonyeze wapi , kwa hili voda wamefeli sana .
Ooh wanakera sanaNilinunua salio mara mbili mtandaoni lakini halikuonekana na pesa wamekata. Kila mara nikiwatafuta naambiwa bonyeza bonnyeza bonyeza nilibonyesha hadi mwisho naambiwa huduma kwa wateja watanipigia. Bado nasubiri kupigiwa na ilishapita miezi minne sasa.