Vodacom nani aliyewaruhusu kuwapa CCM namba yangu ya simu?

Airtel hii kitu haijafanywa wala tiGo. Sasa naamini kuwa Voda ni mtandao wa Chama

Mtapata SMS kwa mitandao yote. Tigo Voda na Airtel. Mtapata pia ya wabunge wetu wengine.

Msizingue tarehe 28, kura za ndio kwa JPM ili amalize utekelezaji mwingine. Hao kina Lissu maneno ni mengi kuliko vitendo, mpeni kura ya HAPANA.
 
Itabidi utoe lekcha mzazi namna ya kupiga hizi kura. Hii ya NDIO na HAPANA zinapigwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…