KB THE DON
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 246
- 113
Mm pia nmepokea ujumbe huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Airtel hii kitu haijafanywa wala tiGo. Sasa naamini kuwa Voda ni mtandao wa Chama
Ujumbe unakuja subiri,ila haina option ya reply.nausubiri sana huu ujumbe,nimeshaandaa majibu kabisa
Itabidi utoe lekcha mzazi namna ya kupiga hizi kura. Hii ya NDIO na HAPANA zinapigwaje?Mtapata SMS kwa mitandao yote. Tigo Voda na Airtel. Mtapata pia ya wabunge wetu wengine.
Msizingue tarehe 28, kura za ndio kwa JPM ili amalize utekelezaji mwingine. Hao kina Lissu maneno ni mengi kuliko vitendo, mpeni kura ya HAPANA.