Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi na ephen tumeunganishwa na upendo na sio vitu wala vyeo wala nini. Ndio maana hata wachonganishi humu jukwaani wameshindwa hata kuroga ili tukosane na ephen wangu.Msikilize, utafika mbali. Ana kitu afisa mwandamizi.
Nakupenda sana ephen mpaka natamani usiwe unapita kwenye misongamano ya watu kwa kuwa naona ni kama watakumalizia hewa safi ya oksijeni.
Mimi na ephen tumeunganishwa na upendo na sio vitu wala vyeo wala nini. Ndio maana hata wachonganishi humu jukwaani wameshindwa hata kuroga ili tukosane na ephen wangu.
Mimi namsikiliza! Lakini ukweli tunaujua mimi na yeye
Tajiri! Nasema hivi mimi kwa lucas sina usemi! Nabubujikwa tu na machozi😂Sasa unataka kusemaje tena tajiri?
Kesi imeisha. Hapo Sasa ashindwe yeye tu. AsituangusheTajiri! Nasema hivi mimi kwa lucas sina usemi! Nabubujikwa tu na machozi😂
Kabisa tajirii, boss mwenyeweKesi imeisha. Hapo Sasa ashindwe yeye tu. Asituangushe
Tajiri! Nasema hivi mimi kwa lucas sina usemi! Nabubujikwa tu na machozi😂
Kila kitu ni hatua! Vile tulivyo leo sio tutakavyokua keshoPia mwambie hizi dhiki za rejareja Mara bando za nusu buku aachane nazo. Apunguze malalamiko.
Kila kitu ni hatua! Vile tulivyo leo sio tutakavyokua kesho
Lucas atakua kwenye level nzuri kama sio leo basi kesho uzi kama huu hatoandika tena
Tuzidi kuombeana kheri!
Sawa tajirii nimekuelewaMie zangu duah na kuwatakia kila la kheri.
Mkamilishe jambo lenu.
Si umeona leo licha ya malalamiko ya bundle lakini amedokeza suala lako la u platinum analifanyia kazi? Unataka Nini Tena hapo Mali safi unaimiliki?