Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongea na nyapu atakusaidia kitu hata kukulejeshea bando lakoNdugu zangu Watanzania,
Mimi ni mtumiaji na mteja wa miaka mingi wa mtandao wa voda ,lakini Haijawahi kutokea na sijawahi kushuhudia hali hii katika simu yangu ya ulaji wa mb utafikiri kuna jini limepiga kambi kula mb zangu. Hali hii imejitokeza tangia jana jioni ambapo nilikuwa na mb mia mbili na 34 lakini ghafla nikashangaa naletewa sms kuwa zimekwisha.
Nilipigwa na mshangao mkubwa sana.baadaye nikasema ngoja nijaribu niweke mb za mia tano.nikaweka nikapewa mb 246 cha kushangaza nikaingia jamii forum na kukaa kama dakika tatu au nne hivi bila kufungua video ya aina yoyote ile.lakini nikaletewa sms kuwa zimebaki mb 61.
Lakini cha kushangaza baada kama tena ya dakika 2 hivi nikaletewa sms kuwa kifurushi chako cha JKU kimekwisha.Nilishangaa sana na kusikitika sana hali hiyo.
Nimepiga sana huduma kwa wateja bila kupata msaada wa aina yoyote ile,kwa kuwa sikupata nafasi ya kuongea na wahudumu wa voda zaidi ya kupewa maelekezo ya kujihudumia mwenyewe.
Sasa muda huu tena nimejiunga bando la mia tano na kupewa mb 246 hivi lakini cha kushangaza nimeingia tu JF na kukaa kama dakika mbili bila kufungua video au kuandika chochote wala kusoma habari hata moja zaidi ya kuangalia nyuzi tu.nikasema ngoja nikaangalie salio,nikakuta tena salio eti ni mb 110 .
Wakati hali hiyo haijawahi kutokea. Sasa najuwa humu jukwaani wapo voda nataka kujuwa shida ni nini?
Angalau leo umeleta hoja ya msingi sana. Vodacom Na Tigo kwenye bando wanatupiga sana. GB1 si kitu kabisa siku hiziNdugu zangu Watanzania,
Mimi ni mtumiaji na mteja wa miaka mingi wa mtandao wa voda ,lakini Haijawahi kutokea na sijawahi kushuhudia hali hii katika simu yangu ya ulaji wa mb utafikiri kuna jini limepiga kambi kula mb zangu. Hali hii imejitokeza tangia jana jioni ambapo nilikuwa na mb mia mbili na 34 lakini ghafla nikashangaa naletewa sms kuwa zimekwisha.
Nilipigwa na mshangao mkubwa sana.baadaye nikasema ngoja nijaribu niweke mb za mia tano.nikaweka nikapewa mb 246 cha kushangaza nikaingia jamii forum na kukaa kama dakika tatu au nne hivi bila kufungua video ya aina yoyote ile.lakini nikaletewa sms kuwa zimebaki mb 61.
Lakini cha kushangaza baada kama tena ya dakika 2 hivi nikaletewa sms kuwa kifurushi chako cha JKU kimekwisha.Nilishangaa sana na kusikitika sana hali hiyo.
Nimepiga sana huduma kwa wateja bila kupata msaada wa aina yoyote ile,kwa kuwa sikupata nafasi ya kuongea na wahudumu wa voda zaidi ya kupewa maelekezo ya kujihudumia mwenyewe.
Sasa muda huu tena nimejiunga bando la mia tano na kupewa mb 246 hivi lakini cha kushangaza nimeingia tu JF na kukaa kama dakika mbili bila kufungua video au kuandika chochote wala kusoma habari hata moja zaidi ya kuangalia nyuzi tu.nikasema ngoja nikaangalie salio,nikakuta tena salio eti ni mb 110 .
Wakati hali hiyo haijawahi kutokea. Sasa najuwa humu jukwaani wapo voda nataka kujuwa shida ni nini?
Majuzi tu nilijiunga GB moja lakini iliisha haraka haraka.Angalau leo umeleta hoja ya msingi sana. Vodacom Na Tigo kwenye bando wanatupiga sana. GB1 si kitu kabisa siku hizi
Mimi mavuno yangu ni kutoka shambani tu.Lucas,
Mwaka huu na mwakani jitahidi. Ndio mwaka wa mavuno kwa mwanaccm yoyote mchumia tumbo.
Acha utoto wako hapaLucas mbwa wa shamba
Huyu kapuku atakimbiza sana upepo humu.
Yaani wewe ushinde kwenye mitanda afu uwaulize voda matumizi yako? 😂😂Ndugu zangu Watanzania,
Mimi ni mtumiaji na mteja wa miaka mingi wa mtandao wa voda ,lakini Haijawahi kutokea na sijawahi kushuhudia hali hii katika simu yangu ya ulaji wa mb utafikiri kuna jini limepiga kambi kula mb zangu. Hali hii imejitokeza tangia jana jioni ambapo nilikuwa na mb mia mbili na 34 lakini ghafla nikashangaa naletewa sms kuwa zimekwisha.
Nilipigwa na mshangao mkubwa sana.baadaye nikasema ngoja nijaribu niweke mb za mia tano.nikaweka nikapewa mb 246 cha kushangaza nikaingia jamii forum na kukaa kama dakika tatu au nne hivi bila kufungua video ya aina yoyote ile.lakini nikaletewa sms kuwa zimebaki mb 61.
Lakini cha kushangaza baada kama tena ya dakika 2 hivi nikaletewa sms kuwa kifurushi chako cha JKU kimekwisha.Nilishangaa sana na kusikitika sana hali hiyo.
Nimepiga sana huduma kwa wateja bila kupata msaada wa aina yoyote ile,kwa kuwa sikupata nafasi ya kuongea na wahudumu wa voda zaidi ya kupewa maelekezo ya kujihudumia mwenyewe.
Sasa muda huu tena nimejiunga bando la mia tano na kupewa mb 246 hivi lakini cha kushangaza nimeingia tu JF na kukaa kama dakika mbili bila kufungua video au kuandika chochote wala kusoma habari hata moja zaidi ya kuangalia nyuzi tu.nikasema ngoja nikaangalie salio,nikakuta tena salio eti ni mb 110 .
Wakati hali hiyo haijawahi kutokea. Sasa najuwa humu jukwaani wapo voda nataka kujuwa shida ni nini?
Kwanini tena asee? Mbona sikumaanisha weweKwahiyo mimi punda? 😂😂
🤣umetoa wapi Bàndo Lucas Mwashambwa ? Chungulia chungulia usijekutahamaki limeisha Lucas Mwashambwa, Kada Mtiifu asiyekuwa na helaNdio anaupiga mwingi sana.View attachment 3019295
Ila wewe manzi una sarcasm kinyama... 😁😁Tatizo wapambe wa humu kama Chaliifrancisco wanakuchukulia poa wakati wewe ni mkulima na kilimo kinalipa
Kwanini unajiunga GB za kimasikini Lucas Mwashambwa wakati wenzio chawa wanakula shushu, why GB 1 ? Inamaana hata Mwijaku na doto magari wamekuzidi Lucas Mwashambwa, 🤣. Kwanini unakaribisha umasikini in your life L. M?Majuzi tu nilijiunga GB moja lakini iliisha haraka haraka.
Mimi siwezi kumkejeli Lucas Abadani hasirani..!🤸Ila wewe manzi una sarcasm kinyama... 😁😁
Mimi siwezi kumkejeli Lucas Abadani hasirani..!🤸
Ningekuwa najiunga bando la jero nisingekuwa nakuwepo humu jukwaani muda wote .lakini nadunda humu jukwaani kwa kuwa naweka bando la kutosha kuniwezesha kuwepo humu mwaka hadi mwaka na kujaa kama pishi la mchele.
Yesu akirudi sasa hivi halafu akisema wenye kuanzia shilling 50 wanaenda Mbinguni, mimi mtaniacha😂🤸Nilitaka kushangaa, ukosekane kabisa kwenye huu Uzi... Eid Mubarak
Mfanyie maarifa mwenzio kifurushi Cha internet.