VODACOM naomba mnisaidie kwanini Mb zangu zinakwisha Haraka pasipo matumizi utafikiri kuna jini linakula?

Ongea na nyapu atakusaidia kitu hata kukulejeshea bando lako
 
Angalau leo umeleta hoja ya msingi sana. Vodacom Na Tigo kwenye bando wanatupiga sana. GB1 si kitu kabisa siku hizi
 
Ngoja niwaite maswahiba zako bila hivyo uzi unakuwa haujabalance.

Benjamini Netanyahu

Matrix19
Huyu kapuku atakimbiza sana upepo humu.

Kuna member mmoja humu miaka ile ya 2010 alikuja kukiri baada ya uchaguzi kuwa alinunuliwa modem na laptop kuwaponda washindani wa maboss wake ila walipoukwaa ubunge wakamfungia vioo.

Sasa sijui ni uchumi wa huko bongo umeshuka kama hadi member mtiifu wa Lumumba buku 7 hawezi kuafford kununua data walau hata GB 1 ila kila siku humu kumsifia chura wa kizimkazi ni hatari sana naamimi hata afya yake itakuwa ni mgogoro.
 
Yaani wewe ushinde kwenye mitanda afu uwaulize voda matumizi yako? 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…