Vodacom Premier League 21/02/2015-Live Score


Yeboyebo ni ya Shinyanga?
 
Last edited by a moderator:
Hakuna cha mkoa wala wilaya, Sukumaland kwanza, wengine baadaye.

Pamba iko kaburini, itafufuka siku ya mwisho kwa ajili ya hukumu kwa kuifunga timu moja ya Shelisheli magoli 8 katika mechi moja.

Nimekuuliza hapo juu siku hizi Jangwani imegeuka Shinyanga/Mwanza?
 
Hakuna cha mkoa wala wilaya, Sukumaland kwanza, wengine baadaye.

Pamba iko kaburini, itafufuka siku ya mwisho kwa ajili ya hukumu kwa kuifunga timu moja ya Shelisheli magoli 8 katika mechi moja.

kwenye mpira ni Simba kwanza, hiyo ya Sukumaland ni kwenye mambo mengine na sio mpira.
 
Yanga lazima atandikwe Leo atake asitake
 
He're is Simba Sports Club first line up to face Stand United at Kambarage Stadium Shinyanga

1.Ivo Mapunda
2. Hassani Kessy
3. Tshabalala
4. Juuko Murushid
5. Isihaka
6. Jonas Mkude
7. Messi
8. Banda
9. Maguli
10.Hajibu
11.Okwii
 
mnasalimiwa sana na Bantu lady. yupo hapa katoka kuoga amekaa tunasubiria mpira.... mi nipo standby kabisa nikimsubir aje kukaa.
 
Last edited by a moderator:
leo ki uhalisia ni siku ngumu sana kwa hizi team zitakazoingia uwanjani. point tatu za leo ni muhimu sana sana kwa team zote. ila kwa simba ni muhimu zaidi
 
Tushushieni updates mpira haujaanza??
 
Stendi united 1 - 0 simba dakika ya 11:
 
Stendi united wamekosa goli la wazi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…