Hahaaa. Kabisaaaaaa.Mwaka huu wao, sisi tupo international level.
Hahahaaaa. LolSimba mmefanya ujinga wa karne.
Hahaaaa. Mbona ulinikimbia sasa jamaani?Hongereni Lipuli mmefanya kazi kubwa sana
Hongera Mtani droo sio mbaya.Wakati wowote mpira utamalizika hapa uwanja wa Samora mkoani Iringa.
90+3 Naam mpira umekwisha uwanja wa Samora mkoani Iringa patashika ya ligi kuu Tanzania Bara VPL. Ambapo timu zimetoshena nguvu kwa kufungana goli moja kwa moja.
Hii game ilikua yao kabisaaaa basi tu yaniHongereni Lipuli mmefanya kazi kubwa sana
Hii ndio shida ya Simba, hawajui wakati gani na wafanye nini. Wameniboa sana. Wameiharibu lunch yangu hawa watu.Hahahaaaa. Lol
Hahahaaa. Ila siku zote si wanakufurahisha mtani na leo pia furahi tu bwana.Hii ndio shida ya Simba, hawajui wakati gani na wafanye nini. Wameniboa sana. Wameiharibu lunch yangu hawa watu.
Kipindi kama hiki ndio huwa tuna boronga Ubingwa bado sana aiseeHii ndio shida ya Simba, hawajui wakati gani na wafanye nini. Wameniboa sana. Wameiharibu lunch yangu hawa watu.
mkuu wewe ni simba damu, si ndiyo?Chupuchupu