Vodacom Premier League Lipuli FC 1-1 Simba SC, Uwanja wa Samora Mkoani Iringa

Vodacom Premier League Lipuli FC 1-1 Simba SC, Uwanja wa Samora Mkoani Iringa

Mtani wangu aminas sijui una hali gani uko iliko.

Ila ndio Mpira huu. [emoji12][emoji12]
 
90+3
za mchezo wa VPL.. Kuendelea kumalizika kwa kipindi cha pili.

Lipuli FC 1-1 Simba SC uwanja wa Samora mkoani Iringa
 
Wakati wowote mpira utamalizika hapa uwanja wa Samora mkoani Iringa.

90+3 Naam mpira umekwisha uwanja wa Samora mkoani Iringa patashika ya ligi kuu Tanzania Bara VPL. Ambapo timu zimetoshana nguvu kwa kufungana goli moja kwa moja.

Lipuli FC 1-1 Simba SC..

Ghazwat... Asanteni sana wana JF
 
Wakati wowote mpira utamalizika hapa uwanja wa Samora mkoani Iringa.

90+3 Naam mpira umekwisha uwanja wa Samora mkoani Iringa patashika ya ligi kuu Tanzania Bara VPL. Ambapo timu zimetoshena nguvu kwa kufungana goli moja kwa moja.
Hongera Mtani droo sio mbaya.
 
Hii ndio shida ya Simba, hawajui wakati gani na wafanye nini. Wameniboa sana. Wameiharibu lunch yangu hawa watu.
Hahahaaa. Ila siku zote si wanakufurahisha mtani na leo pia furahi tu bwana.

Pole sana Mtani sababu mpaka lunch yako imeharibika kweli inaelekea hali ilikuwa mbaya. Polee.
 
Back
Top Bottom