Hahahaaaa. Kabisaaaaaa.Kabisa na ajue wanaume tulivyo chukua mfululizo tulifanya kazi ya ziada
Hahahaaaa. Wanalo leo. Teh tehManyau nyau fc wanakalishwa huko leo
Dar,tuko pamoja.Najua unafurahia gape lipungue mtani.Jangwani lkn pia hawa ni nyanda za juu kusini ambako ni nyumbani mkuu
Wanalo leo.
Natamani wapigwe cha pili halafu nione. Teh teh teh
Hahahaaaa. Wanalo leo. Teh teh
Hahahaaa. Ujue nilikusahau kukutag Mtani. Niaje aisee?[emoji16] [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaaaa. Lol.Kipindi hiki wazee tushike mapu.mbu hawa simba wasipate hata moja
Hahaa sasa Hajar sijui utashika nn hapaHahahaaaa. Lol.
Naona wamechangamka sasa.
M-PESA labda igome tuKipindi hiki wazee tushike mapu.mbu hawa simba wasipate hata moja
Yaaani hapa nilisha inuka kabisaLeo Simba kazi wanayo. Hahahahahahaaaaaaa.
Wamekoswa koswa aiseeeeee
Kitapatikana tu cha kushika. Hahahaaaa.Hahaa sasa Hajar sijui utashika nn hapa
Mimi je Hahahaaaa.Yaaani hapa nilisha inuka kabisa
HahaaaKitapatikana tu cha kushika. Hahahaaaa.