GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,007
- 5,290
Hili nalo neno khaaaaM-PESA isipotumika halftime Simba hatoki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo neno khaaaaM-PESA isipotumika halftime Simba hatoki
Hahhahah aisee lazma tukome , kusema ukweli huyu kocha toka amekuja Simba imebadika sana, zile 4G sahv shida sana kuzipata. Kwa mtizamo wangu Simba angepewa huyo kocha msaidizi , au MatolaMtakoma!!
Hahahaaaaa. Haiwezi kutokea sababu siku zote mpira una matokeo matatu.Tusiandikie mate na wino upo, mwisho wa mechi najua tutakimbiana humu jukwaani
Apigwe tu kwa kweli.
Ili ajue Ubingwa haupatikanagi kirahisi.
Hahaha, kubalini mwaka sio wenu huu, hivyo vingine ni visingizio tuUzuri wenu nyie "imethibitishwa" mnaitumia ipasavyo....so sitashangaa halftime hii mkafanya mambo
Umeonaeeee. Yaani leo hamna cha Kwasi, Okwi wala Adebayo wote wamefichwa lol.Labda wabadili mchezo ila wakiendelea kucheza hivi, watapoteza hili game then jpili ijayo itakuwa game tamu sana
Hahahaaaa. Na hawachelewi hao.Uzuri wenu nyie "imethibitishwa" mnaitumia ipasavyo....so sitashangaa halftime hii mkafanya mambo
huyo si ndo kocha mwenye CV kubwa Afrika...Hahhahah aisee lazma tukome , kusema ukweli huyu kocha toka amekuja Simba imebadika sana, zile 4G sahv shida sana kuzipata. Kwa mtizamo wangu Simba angepewa huyo kocha msaidizi , au Matola
Na wewe ni wanapaluhengo au ndio wazee wa Jangwani?Mama ndio kila kitu
Dah! Mnavojipa moyo, haya ngoja tuoneUmeonaeeee. Yaani leo hamna cha Kwasi, Okwi wala Adebayo wote wamefichwa lol.
Na Jimapili lazima tuwashangaze.
CV gan kubwa, Ndemla alvokuwa onfire msimu huu sahv anasugua benchi, Mzamir kiungo bora kabisa, ukiachana na Mo wote wanasugua et Kapombe ndo kawareplace.huyo si ndo kocha mwenye CV kubwa Afrika...
Hahahaaaa. Dalili tushaziona Sesten.Dah! Mnavojipa moyo, haya ngoja tuone
Hahahaaaa. Itakula kwao pale itakapokuja tofauti.Kombe lao si kuwafunga yanga
Jangwani lkn pia hawa ni nyanda za juu kusini ambako ni nyumbani mkuuNa wewe ni wanapaluhengo au ndio wazee wa Jangwani?