Vodacom Premier League Lipuli FC 1-1 Simba SC, Uwanja wa Samora Mkoani Iringa

Vodacom Premier League Lipuli FC 1-1 Simba SC, Uwanja wa Samora Mkoani Iringa

38 ' Lipuli FC 1-0 Simba SC

Mpira ni makali Lipuli wanaupiga hapa uwanja wa Samora
 
Huyu kocha wa Simba,kavuruga formation sahiv hata Simba haichezi mpra wa kuvutia.Viungo wengi kama Ndemla, Mzamiru hat Niyonzima wanakosa namba
Lipuli wakiendelea hivi wata deserve kushnda..
 
Back
Top Bottom