Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Maraa paap simba kafa...aloooo nitashusha mizinga kadhaa ya nyagi leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee tulia tu watoto wamechokoza nyuki hao
Wanapigwa mda si mrefuu..labda mbeleko itumikeWanalo leo.
Natamani wapigwe cha pili halafu nione. Teh teh teh
Dua la kuku hilo ujueWanalo leo.
Natamani wapigwe cha pili halafu nione. Teh teh teh
Hahahaa. Ndio malengo yetu hayo. [emoji85] [emoji85]Tena ndo mjitahidi mchukuage kabisa na kombe maana mkilikosa mwakani za kimataifa mtakua mnatushangilia sisi tu
Hahaaaaaaa wewe jiandae tu hii ngoma imeishia hapaMaraa paap simba kafa...aloooo nitashusha mizinga kadhaa ya nyagi leo
Apigwe tu kwa kweli.Mtani ameshapigwa huko
Hatariiiiiiii.Wosa wosa
Hahahaaaaaa. LolMaraa paap simba kafa...aloooo nitashusha mizinga kadhaa ya nyagi leo
Hahahaa, malengo yenu yaendane na uwezo wa kusakata kabumbu, hapo Ethiopia tu chupuchupu sasa kwa Waarabu sijui itakuaje!Hahahaa. Ndio malengo yetu hayo. [emoji85] [emoji85]
Naomba waongezwa cha piliHatariiiiiiii.
Vana va pakaye!"Nalonoge lweki". Lipuli bhana!.
Wewe hajar wewe! Nakuangalia tu iiiiiiiiApigwe tu kwa kweli.
Ili ajue Ubingwa haupatikanagi kirahisi.
Hahahaaa. Nshatulia Hajar mie.Wee tulia tu watoto wamechokoza nyuki hao