Vodacom Premier League Lipuli FC 1-1 Simba SC, Uwanja wa Samora Mkoani Iringa

Vodacom Premier League Lipuli FC 1-1 Simba SC, Uwanja wa Samora Mkoani Iringa

Adam salamba anapiga shuti na kupaa lango la Lipuli FC
 
Daluwesh anapiga shuti na kupaa lango la Simba SC na kuwa Goal Kick
 
Okwi anamuacha mtu kwake Bocco. Lakini Kapombe anachelewa kuwahi mpira
 
Malim Busungu anapoteza nafasi nzuri ya kuandika bao
 
Busungu anaingia lakini golikipa Manula anadaka bila wasiwasi
 
Salamba salamba... Aaaa mpira unatoka nje lango la Simba na kuwa Goal Kick
 
Boccoooo analazimisha njia kuelekea lango la Lipuli lakini mpira unakosa mmaliziaji na kutoka nje ya lango
 
24' Lipuli FC 0-0 Simba SC uwanja wa Samora mkoani Iringa
 
Kichuya kwake Asante Kwasi.. Anapiga mbele lakini Kapombe anashidwa kuuwahi mpira na kutoka nje
 
Mpira anao Busungu anakwenda lakini goal kick
 
Back
Top Bottom