Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,023
Oops boraaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu pale sio Lipuli wa 1st half hawa[emoji26]Hahahaaaaa. Lol
Naona umerudi Mtani.72' Mchezo wa VPL.. Mchezaji wa Lipuli FC Seif anatolewa nje baada ya kupata rabsha
Lipuli FC 1-1 Simba SC uwanja wa Samora mkoani Iringa
Hahahaaa. Hivyo Imethibitishwa ishatembea hapo.Kuna kitu pale sio Lipuli wa 1st half hawa[emoji26]
Hahahaaa. Wacha kabisa.simba macho yaliwatooka 😀😀
Kwakweli hawa vitukuu wa Mkwawa ni noma.Haya njooni sasa watani mliokimbia.
Wanaukame na kombe hivyo nyenzo zote zinatumika..Hahahaaa. Hivyo Imethibitishwa ishatembea hapo.
Hahahahaaaa. Nimefanyaje tena Mtani? [emoji85] [emoji85]Wewe hajar wewe! Nakuangalia tu iiiiiiii
Hahaaaa. Wamewatoa kijasho chembamba lol.Kwakweli hawa vitukuu wa Mkwawa ni noma.
wakuu ngap ngap huko?
Hahahaaaa. Ila misimu mitano ni mingi aiseee. Wacha kabisa.Wanaukame na kombe hivyo nyenzo zote zinatumika..
Hahaaaa.Lipuli watafungwa tu akina Hans Pope lazima wafanye fitina
Huyu jamaa anaudhi sanaLaudt anakosa bao wazi. Ilikuwa nafasi nzuri yeye na golikipa
Mwaka huu wao, sisi tupo international level.Hahahaaaa. Ila misimu mitano ni mingi aiseee. Wacha kabisa.