theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Juzi kati kanjibai alitembea na pesa yangu imenibidi nitulie kwanza.....Daaahhh.
Upepo hauna mwelekeo sahihi mkuu, kimbunga kikija tulia ili kipite halafu utendelea na safari hali ya hewa ikitulia
Wamewaficha Boko na Okwi eti kuwa surprise Masry.Kama stand tu wa hapo shinyanga wamewatoa jasho je waarabu mtapigwa nyingi sana
Tena sio rufaa ya nchi hii, huko FIFA[emoji3] [emoji3]Stand itakuwa walichezesha mchezaji mwenye kadi, haiwezekani tutakata rufaa.
Aliyekwambia ushindi lazima nani??? Acheni tabia ya kwenda uwanjani na matokeo mfukoni...ona sasa mmeumbuka..Ushindi lazima. Huo ni upepo tu unapita emmyta mkuu
wooooiiii4G iko pale pale tu.
Gool lalaaaa ndio nini sasa?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kichuyaaaaaaa napiga shuti kali gool lalaaaa. Mpira unapaa nje ya lango
kweli kabisa ni 4G.. labda ya nanjilinji, nangurukuru na namtumbo huko ndanindani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Simba itamalza game na goli 4
4G iko pale pale tu.
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Nataniaaaaaa naondokaje yanga kwa mfano
Waarabu huwa hawana mambo ya sapraiziWamewaficha Boko na Okwi eti kuwa surprise Masry.
heri yako uliona mbaliKuna uwezekano mechi ikaisha kwa sare
chama la wana on[emoji91] [emoji91] [emoji91]Woooyoooooooooooo
Mpira umekwisha kilichijiri ndo hicho. Ungequote wakati ule ningekufafanulia lakini hapo naona una lako jambo. Kwangu kuna matokeo matatu kwenye sokaGool lalaaaa ndio nini sasa?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sichezi mbali emmyta niko hapaJoseverest, zeshchriss na radika njooni huku leo mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Mtani analo.
Mtani vipi...Goo Laana ndio nini??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Goo laana. Kichuyaaaaaaa anapiga shuti na linaokolewa na beki wa Stand
Kwa waarabu watakula mvua nyingi tu nakwambia, bora wajisalimishe tu maana mshindi ashajulikanaKama stand tu wa hapo shinyanga wamewatoa jasho je waarabu mtapigwa nyingi sana