Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Kila la kheri watani zangu japokuwa upande wa pili nawaombea japo sare.[emoji12][emoji12]

Leo itakuwa hamjaenda kazini nyie. Barafu ya moto na Ghazwat. Au timu mchekea ndio sababu mmekuja mapema jukwaani leo?
Rafiki kumbe na hii tasnia unafatilia?
 
Mpira umekwisha kilichijiri ndo hicho. Ungequote wakati ule ningekufafanulia lakini hapo naona una lako jambo. Kwangu kuna matokeo matatu kwenye soka

This is Simba SC..
naona umepanic ..
pole mtani[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
naona umepanic ..
pole mtani[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hapana kawaida tu. Ndo soka ndo maana sikuacha kuleta Updates. emmyta amecharua na kafurahi sana lakini ndo utani. Ila lile swali halikuwa mahala pake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…