Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki kumbe na hii tasnia unafatilia?Kila la kheri watani zangu japokuwa upande wa pili nawaombea japo sare.[emoji12][emoji12]
Leo itakuwa hamjaenda kazini nyie. Barafu ya moto na Ghazwat. Au timu mchekea ndio sababu mmekuja mapema jukwaani leo?
naona umepanic ..Mpira umekwisha kilichijiri ndo hicho. Ungequote wakati ule ningekufafanulia lakini hapo naona una lako jambo. Kwangu kuna matokeo matatu kwenye soka
This is Simba SC..
Tutaenda FIFA kushtakiKwa waarabu watakula mvua nyingi tu nakwambia, bora wajisalimishe tu maana mshindi ashajulikana
point 6 ila Yanga ana mechi moja mkononiMpaka hapo simba anazidi Yanga point ngapi?
kukata rufaa[emoji3] [emoji3] [emoji3]Tutaenda FIFA kushtaki
Kabisaaa. Leo mambo ni motooo.Hahahaha nlikua katikati ya bahari jaman network inasumbua naona mambo ni fireeee
Amiin Insha Allah.Tuombe uzima mtani.....
Mmh. Swahiba umekuwa adimu yaani mpaka kwenye matukio muhimu kama haya ndio unaibuka lol. [emoji12]Iikuwa gap la point 8 haya sasa
Welldone Stand Untd
Ndio yaani wakitufunga nyingi tu tunamtuma Haji akareport Fifakukata rufaa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hapana kawaida tu. Ndo soka ndo maana sikuacha kuleta Updates. emmyta amecharua na kafurahi sana lakini ndo utani. Ila lile swali halikuwa mahala pake.naona umepanic ..
pole mtani[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
wazee wa kikosi cha 1.4 Bilioni [emoji16][emoji16][emoji16]Ndio yaani wakitufunga nyingi tu tunamtuma Haji akareport Fifa
sawa mtani umesomekaHapana kawaida tu. Ndo soka ndo maana sikuacha kuleta Updates. emmyta amecharua na kafurahi sana lakini ndo utani. Ila lile swali halikuwa mahala pake.
Ni kweli mkuuJamani wengine tupo kwenye basi tunaomba updates ingawa najua Simba lazima ishinde tu leo
Hahaha swahiba nipo yaani hapa raha tuMmh. Swahiba umekuwa adimu yaani mpaka kwenye matukio muhimu kama haya ndio unaibuka lol. [emoji12]
Umeonaeeee.chama la wana on[emoji91] [emoji91] [emoji91]
Hahahaaa. Niliona kimya ikabidi niwaite aisee.Sichezi mbali emmyta niko hapa
Kiliongezeka thamani baada ya kumsajili Kwasi na sasa ni zaidi ya hapowazee wa kikosi cha 1.4 Bilioni [emoji16][emoji16][emoji16]
Aiseee. Naipenda sana hasa ikija hizi mambo za watani unitoi mpaka kieleweke.Rafiki kumbe na hii tasnia unafatilia?