[emoji2] [emoji2] [emoji2]Duh leo 6G
Pengo la Bocco na Okwa lipo wazi4G iko pale pale tu.
Ngoja tuoneSimba itamalza game na goli 4
Nakuona tu team yangAKabisaaaaaa. Yaani.
Nataniaaaaaa naondokaje yanga kwa mfanohaupo Yanga tena[emoji17][emoji17][emoji53][emoji29][emoji29][emoji19][emoji19]
Hahahasimba timu piga hao stand...siipendi simba ila nimebeti so sinabudi uishangilia...simba pigaaaa hao mbuzi
Hahahaaa. Hakika best yaani hii ndio raha ya Utani.Nakuona tu team yangA