Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Kichuyaaaaaaa napiga shuti kali gool lalaaaa. Mpira unapaa nje ya lango
 
Gyan anakwenda lakini anakwatuliwa na kuwa faulo. Inapigwa lakini inaokolewa
 
Kichuyaaaaaaa goo lalaaaa. Golikipa anaokoa. Ilikuwa nafasi nzuri kwa Simba kuandika bao
 
Mpira wa adhabu kuelekea Stand United. Na Abuu Kassim anapewa kadi ya njano
 
Goo gooo lalaaaa. Golikipa wa Stand yuko chini baada ya kukosa mawasiliano na mabeki wake
 
63' Konaa a Goooooooooaaal Gyan anaandika bao la tatu baada ya mpira wa kona uliokolewa na golikipa kumkuta Gyan na kupiga shuti kali

Simba SC 3-2 Stand United
 
Back
Top Bottom