Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Najua hilo. Natamani weledi ungeruhusu nikuone. Maana sipati picha furaha yako ikoje

Binafsi nawapongeza Stand Utd kwa kuchomoa goli zote tatu. Ndo soka Mtani.
Hahahaaaa. Yaani acha tu Mtani.

Ila upande wa shilingi naamini mpira una matokeo matatu japokuwa haya matokeo mawili ya sare na kufungwa hamkuwa mnayapa nafasi kabisaaaa.

Sababu nyie mlikuwa wazee wa 3G 4G 5G.
 
Hahahaaaa. Wacha hizo rafiki lol.

Itakuwa una majonzi hapo sio bure aiseee. Pole rafiki yangu wa ukweli. [emoji12] [emoji12]
Hahah!! hapana rafiki hii pole unaipoteza bure tu mana sistahili kupewa..... njoo kwenye nyuzi za Fc barcelona na Manchester city fc utanikuta natamba kule...

Kuhusu hii shilingi yako kesho weekend ntakutembelea maeneo yetu yale tutayajenga
 
Hahahaaa. Haya bana rafiki. Karibu.
 
Wewe mleta Uzi mbona una roho mbaya namna hyo, inamaana magoli ya Stand hukuyaona au, Maana nimeona umeandika bao 2-2 tu, hujayaupdate kama hayo ya simba...
Inaonesha dhahiri we no Mikia SC kindakindaki
 
Leo tupo kwenye Edge Network..Hata itel simu hupokei..
 
Wewe mleta Uzi mbona una roho mbaya namna hyo, inamaana magoli ya Stand hukuyaona au, Maana nimeona umeandika bao 2-2 tu, hujayaupdate kama hayo ya simba...
Inaonesha dhahiri we no Mikia SC kindakindaki
Kama umetoka kuamka kaa kimya. Na acha ujinga, goli za timu zote zipo hapo kwenye thread na wafungaji pamoja na dakika zake kabisa.

Acha kujifanya mjuaji ilhali wewe Chura kwako ni bwawani tu.
 
Simba bila Okwi, Boko inaonekana haiko competent kabisa, so! Ni hatari kwa timu kuwa dependant kiasi hicho
 
Back
Top Bottom