Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
yeah for sure2 Bilioni siunajua mambo ya mfumo wa share
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah for sure2 Bilioni siunajua mambo ya mfumo wa share
Hahahaaaa. Yaani acha tu Mtani.Najua hilo. Natamani weledi ungeruhusu nikuone. Maana sipati picha furaha yako ikoje
Binafsi nawapongeza Stand Utd kwa kuchomoa goli zote tatu. Ndo soka Mtani.
Hahahaaa. Leo Swahiba imekuwa sare G. Lol.Walikuwa wanapiga mahesabu ya 4G
Hahah!! hapana rafiki hii pole unaipoteza bure tu mana sistahili kupewa..... njoo kwenye nyuzi za Fc barcelona na Manchester city fc utanikuta natamba kule...Hahahaaaa. Wacha hizo rafiki lol.
Itakuwa una majonzi hapo sio bure aiseee. Pole rafiki yangu wa ukweli. [emoji12] [emoji12]
Hahahaaa. Yaani hawana hamu.Raha sana kwa kweli wamekatwaaaaaaa
Hahahaaa. Haya bana rafiki. Karibu.Hahah!! hapana rafiki hii pole unaipoteza bure tu mana sistahili kupewa..... njoo kwenye nyuzi za Fc barcelona na Manchester city fc utanikuta natamba kule...
Kuhusu hii shilingi yako kesho weekend ntakutembelea maeneo yetu yale tutayajenga
[emoji120] [emoji120]Hahahaaa. Haya bana rafiki. Karibu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji106][emoji120] [emoji120]
Aiseee tumsubiri anachukua maagizo kutoka kwa ManaraHuyo jombaa akirudia nitag Mkuu. [emoji12]
Hahahaaa. Halafu manara hajaonyeshwa leo sijui kwa nini sababu anajuaga kushangilia huyoo.Aiseee tumsubiri anachukua maagizo kutoka kwa Manara
Kama umetoka kuamka kaa kimya. Na acha ujinga, goli za timu zote zipo hapo kwenye thread na wafungaji pamoja na dakika zake kabisa.Wewe mleta Uzi mbona una roho mbaya namna hyo, inamaana magoli ya Stand hukuyaona au, Maana nimeona umeandika bao 2-2 tu, hujayaupdate kama hayo ya simba...
Inaonesha dhahiri we no Mikia SC kindakindaki
Ndio, nasema hizi timu nyingine ni size ya Yanga tuEtiiiiiii unaweza kurudia haya jombaaa