Vodacom Premier League, Simba Sports Club yatoka sare na Lipuli FC uwanja wa Uhuru 26/11/2017

85' Nicholas Gyannnnn nje!

Huku golikipa wa Agathon anapewa kadi ya njano kwa kupoteza muda
 
89' Ally Shomari anapigaaaa kona.
 
Nicolas Gyannnnn.. Golikipa Agathon anacheza
 
90+5' Mpira kati ya Simba SC na Lipuli FC umemalizika hapa uwanja wa Uhuru ambapo timu zote zimetoshana nguvu kwa matokeo ya goli moja kwa moja

Simba Sports Club 1-1 Lipuli FC ulikuwa na mimi Ghazwat.. Asanteni sana
 
Lipuli mna bahati sana.. Ila Amri na Matola mlichokifanya leo kitawacost daima.
 
Yanga na Simba wosa maisganyanza....baba wa Tawaifa Hayati Mwl. J K Nyerere
 
Simba hakuwa na bahati leo, wamejitahidi kucheza vizuri.

Pia pongezi kwa Lipuli wamejitahidi kupaki basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…