Vodacom Premier League, Simba Sports Club yatoka sare na Lipuli FC uwanja wa Uhuru 26/11/2017

Kikosi chao kimekamilika kila kona, Yanga asingekuwa na Injuries tungekuwa tunazungumzia alama 5 juu ya msimamo.
 
Jamaa wamezesha kikosi cha kwanza na wachezaji wao muhimu wote walikuwepo mwisho wa siku wamepigishwa puli na Lipuli
 
Kikosi chao kimekamilika kila kona, Yanga asingekuwa na Injuries tungekuwa tunazungumzia alama 5 juu ya msimamo.
Tuombe Lwandamila awe na wide choice mzunguko wa pili. Ndoo lazima itue Jangwani tena!
 
Hivi Niyonzima ashawahi kufunga au kuassist tangu ligi ianze? Huyu jamaa kaja kuchukua pension na kusomeshewa watoto wake na hawa billion moja fc
 
Tuombe Lwandamila awe na wide choice mzunguko wa pili. Ndoo lazima itue Jangwani tena!

Hata jamaa anajitahidi sana anapata matokea kwa kutegemea akina martin. i hope akina ngoma, kamu, tambwe wakirudi tutakuwa hatukamatiki kabisa.
 
Hata jamaa anajitahidi sana anapata matokea kwa kutegemea akina martin. i hope akina ngoma, kamu, tambwe wakirudi tutakuwa hatukamatiki kabisa.
Lwandamina mtamu wachezaj wachache aliokuanao anawatumia vzr sana,,huyu jamaa ni mtaalam sana wa soka
 
Ingawa siwapendi, nawashauri mchezesheni Mo achaneni na Haruna hata kama mlitoa mahari kubwa! Hesabuni mmeliwa kama sie tulivyoliwa kwa Donadi!

Donadi amenunuliwa kwa kiasi gani?
 
hakuna simba hapa, hawa ni nyau fc wanao jiona simba lipuli kathibitisha ivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…