Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipuli sio Njombe mjiGooooooo Smb 3 lpl 0
Okwi dk 3
Okwi dk 10
Kichuya dk 45
HT
[emoji12] [emoji12]Kwanza yule Asante Kwasi ana kadi 3 za njano na hata ile kadi yake nyekundu na Yanga haijaisha kabisa tunavyojua sisi, kwahiyo tutakata rufaa msihofu wana Tope Fc.
Lipuli mmenipa raha[emoji106]
😀😀😀😀Watemeni waje Yanga muone tofauti. Huyo Mavugo anaweza kupiga goli 20 akiwa Yanga
Jamaa wamezesha kikosi cha kwanza na wachezaji wao muhimu wote walikuwepo mwisho wa siku wamepigishwa puli na Lipuli
Tuombe Lwandamila awe na wide choice mzunguko wa pili. Ndoo lazima itue Jangwani tena!Kikosi chao kimekamilika kila kona, Yanga asingekuwa na Injuries tungekuwa tunazungumzia alama 5 juu ya msimamo.
Kikosi chenye thamani ya billion moja point .
BhahahahaaaaGooooooo Smb 3 lpl 0
Okwi dk 3
Okwi dk 10
Kichuya dk 45
HT
Ooh Ooh Bocco anakosa goal la wazi hapa
Tuombe Lwandamila awe na wide choice mzunguko wa pili. Ndoo lazima itue Jangwani tena!
Naona mmechukua point 3 mshikaji wangu,Kila la heri mnyamaa uchukue point zako 3
Lwandamina mtamu wachezaj wachache aliokuanao anawatumia vzr sana,,huyu jamaa ni mtaalam sana wa sokaHata jamaa anajitahidi sana anapata matokea kwa kutegemea akina martin. i hope akina ngoma, kamu, tambwe wakirudi tutakuwa hatukamatiki kabisa.
Ingawa siwapendi, nawashauri mchezesheni Mo achaneni na Haruna hata kama mlitoa mahari kubwa! Hesabuni mmeliwa kama sie tulivyoliwa kwa Donadi!